Yanayojiri kwenye Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA

... hilo limaitwa vazi la ukombozi kaka! Linaleta furaha penye huzuni; linaleta amani palipo na vurugu; linaleta mwanga penye giza! Hilo vazi hata Shetani linamtesa.
Tumekuelewa wachache. Chadema wabarikiwe
 
Wasitumbue tu macho yao...
Waje na maamuzi ya mwisho juu ya Covid-19!
Na vile vile washinikize wapewe taarifa juu ya Saanane.
Kuhusu Katiba Mpya... Tunataka sheria itungwe na iondoe mamlaka ya kusimamia maoni ya wananchi mikononi mwa tume ya uchaguzi kwa sababu hiyo tume ni miongoni mwa vitu vya kubadilisha!

Wananchi amkeni... amkeni!
 
Wasitumbue tu macho yao...
Waje na maamuzi ya mwisho juu ya Covid-19!
Covid19 inataka watu wavae barakoa na ku keep social distance wao wenyewe hawajavaa barakoa na ku ku keep social distance ndio unatarajia wake na masmuzi ya wabunge Covid19 hivi akili ziko sawa wewe? Utasubiri sana!!
 
Covid-19 unawajua kweli??
 
Covid-19 unawajua kweli??
Covid19 naijua njia za kulinda ni pamoja na kuvaa barakoa na Social distance kamati kuu hawajazingatia

Vichwa vya habari vya magazeti kama kweli wako serious na mapambano dhidi ya Corona wasihangaike kuandika kamati kuu Chadema ilisema nini waandike iuzembe wao waliofanya kutovaa barakoa na social distance

Sababu chukulia wametoka mikoa yote Tanzania nzima mmoja hapo akiwa na Corona sia ataambukiza kanda zote za wajomba na kwenda Kuua watu kanda au mkoa wake kwa Corona?. Hapo hoja kuu inatakiwa kuwa wajumbe hawakuvaa barakoa wala ku keep social distance kujilinda na Corona
 
Mbona hamna update yoyote au yaliyojiri ni izo picha tu, au kikao Cha siri
 
Mnakosea sana, vile viwanja sio vya ccm ni vyetu. Ccm hakijawahi kujenga kiwanja chochote cha mpira wala hata ofisi hawajawahi kujenga vyote wanavyotumia ni vya wananchi. Take that please.
 
... hilo limaitwa vazi la ukombozi kaka! Linaleta furaha penye huzuni; linaleta amani palipo na vurugu; linaleta mwanga penye giza! Hilo vazi hata Shetani linamtesa.
Ukombozi hewa.
 
Hakuna ulichojibu zaidi ya ku divert!
 
Magazeti Kesho heading kuu ukurasa wa mbele iwe Chadema wakaa kikao cha kamati kuu bila kuvaa barakoa wala social distance pamoja na kuwa ni waumini wakubwa waumini Corona ipo

Halafu iwekwe picha ya kikao
Hivi bado una chuki tu? We changudoa ulishiriki kwa kiasi kikubwa kupanga njama za kumwua lissu. Dawa yako iko jikoni inachemka.
 
Hivi bado una chuki tu? We changudoa ulishiriki kwa kiasi kikubwa kupanga njama za kumwua lissu. Dawa yako iko jikoni inachemka.
Jibu hoja wewe kwa nini hamjavaa barakoa na ku keep social distance wakati nyie ndie mlijitia Corona ipo kibao Tanzania? Walk the talk
 
Jibu hoja wewe kwa nini hamjavaa barakoa na ku keep social distance wakati nyie ndie mlijitia Corona ipo kibao Tanzania? Walk the talk
Nakueleza hivi, damu ya Lissu utailipia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…