Yanayojiri kwenye Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA

Chadema chama kinachoongoza kwa unafiki duniani Ushahidi ona iliyokaa kwenye kikao hakuna mwenye barakoa wala social distance na inajitia ohh Corona ipo!!!

Wanafiki wakubwa
Eti Mbowe gaidi nyuso zimewashuka kwa haya
 
CDM Ni taasisi kubwa Sasa na mifumo imara hakuna likage ya taarifa!
 
La msingi kujifunza kuhusu CDM ni hili, bila FAM hakuna CDM...angalau hata mkutano umeweza kufanyika sehemu rasmi na nzuri ukiwa well organized... FAM ndio kila kitu CDM...
 
Namuona kibaraka wa beberu anaendesha kikao akiwa jikoni.
 
Nimesoma sehemu fulani kwamba Kamati kuu ya Chadema kwa kauli moja imeamua kuwasamehe Halima Mdee na wenzake ili kujenga mshikamano ndani ya chama na kuponya majereha.

Habari hizi ni za kweli mh J J Mnyika?
 
Vipi kuhusu level siti kwenye daladala? Serikali inafuatilia kwa kiasi gani? Pia magari ya mikoani abiria wanavaa barakoa?

COVID19 ni kwa ajili ya wanasiasa tu?
 
join the chain njaa kali wanapanga namna ya kujaza matumbo yao tena, walifanya ujinga mkubwa sana 2015 ilikuwa ni nafasi pekee kuipa Tanzania uelekeo mpya.
 
Hivi hawanaga ukumbi wao hawa watu?
Hayo mamisaada wanayopewa na vyama rafiki+ruzuku wameshindwa kujenga hata ukumbi mpaka kila siku kufanyia vikao vyao hotelini?
Wakidukuliwa wanalalama...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…