Kabwe Katali
JF-Expert Member
- Dec 8, 2021
- 475
- 934
Kamati inakutana siku ngapi mkuu.hadi sasa hakuna official statement yoyote ili tujue walichozungumza.Halafu mbona kikao kilimsubiri Mwenyekiti ina maana walijua angetoka karibuni?Kikao cha Kamati Kuu ya chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ikiendelea muda huu, ikiongozwa na Mh. Freeman Mbowe muda huu.
Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama wakiwa ukumbini wakifuatilia hotuba ya ufunguzi wa kikao hicho iliyotolewa na Mwenyekiti Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe.
View attachment 2152766
View attachment 2152754View attachment 2152755View attachment 2152756
View attachment 2152765
Mbona kile chama kingine kinafanyia vikao vyao " sehemu takatifu" na husemi kwanini watumie pa wote wakati ruzuku wanajilipa watakavyo?Hivi hawanaga ukumbi wao hawa watu?
Hayo mamisaada wanayopewa na vyama rafiki+ruzuku wameshindwa kujenga hata ukumbi mpaka kila siku kufanyia vikao vyao hotelini?
Wakidukuliwa wanalalama...
π€£π€£ unauhakika amevutaNimechochea wapi, usinilazimishe kulewa ulichovuta
wewe mbona baba yako hana nyumb na wala hana mke!πππππππππHivi hawanaga ukumbi wao hawa watu?
Hayo mamisaada wanayopewa na vyama rafiki+ruzuku wameshindwa kujenga hata ukumbi mpaka kila siku kufanyia vikao vyao hotelini?
Wakidukuliwa wanalalama...
Hadi mama Janet kanenepaDada kubali hawara yako kafa na hatorudi tena. Hizi nguvu unazotumia kumtetea ni kazi bure maana wala hasikii lolote na funza washammaliza kabaki mifupa tupu.
Focus on your business madame Fashisti hayupo tena....
Tulia upate usingizi wa kutosha ili utunze afya yako.Hakuna ulichojibu zaidi ya ku divert!
NDIO.Hiki ulichoandika kina uhusiano na Kikao cha kamati kuu ya Chadema kutovaa barakoa na ku keep social distance kikaoni kujikinga na Corona?
NDIO.Hiki ulichoandika kina uhusiano na Kikao cha kamati kuu ya Chadema kutovaa barakoa na ku keep social distance kikaoni kujikinga na Corona?
Uko sawa HAWAJAWAHIMnakosea sana, vile viwanja sio vya ccm ni vyetu. Ccm hakijawahi kujenga kiwanja chochote cha mpira wala hata ofisi hawajawahi kujenga vyote wanavyotumia ni vya wananchi. Take that please.
Unafikiri nikipigwa ban nitakosa pesa ya kulisha watoto wangu na jioni kunywa bia mbili tatu?Mods huyu anatukana