digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Hawa wafia dini wairani hawana jipya hao labda kama wanemisi kukutanishwa na mabikira hewa wa peponi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakin Iran na US wana deal kwamba "shambulia lakini usiguse bases zangu na mimi sitoingilia kabisa...."Upon completing the assessment, Minister Gallant emphasized that the defence establishment has completed preparations for responses in the event of any scenario that may develop vis-à-vis Iran," his office said.
The Chief of General Staff, Herzi Halevi, said Israel "knows how to deal with Iran - offensively and defensively".
"We know how to act forcefully against Iran in both near and distant places. We are operating in cooperation with the USA and strategic partners in the region," he said in televised remarks.
Na shida ni kuwa hii mbungi ikipigwa lazima USA nae aingie. Wacha tuone
Kwa tension ya sasa sidhan kama litapita hivihivi labda mmoja hapo aamuwe kupigwa avungeTuombe Mungu aepushe hili lipite maana both sides kuna madhara watapata makubwa hata sisi wa huku buseresere ndani ndani bei ya mafuta itatunyoosha TU
i Wonder where itakua battlefield ya huu mpambano maana ki jografia Iran hawashei mpaka na Israel ila Kuna mpumbavu mmoja ( Syria au Lebanon)anaenda kukalibisha vita sebureni mpaka chumbani mwake Kuna watoto wadogo na kina Mama wanaenda ku pay blood price ya hii vita very soon
Let us cheer up with popcorn waiting for movie [emoji327]
Israel kaanza ku withdraw vikosi vilivyo kua gaza kujiandaa na hii vita kubwa ambayo ipo mbele yake vita ambayo itabadilisha taswira ya middle EastKwa tension ya sasa sidhan kama litapita hivihivi labda mmoja hapo aamuwe kupigwa avunge
HAtari sanaWenye makampuni ya silaha watakula wapi mkuu?
Israel akimalizana na Hamas ataelekea North kuwamaliza HezbollahIsrael kaanza ku withdraw vikosi vilivyo kua gaza kujiandaa na hii vita kubwa ambayo ipo mbele yake vita ambayo itabadilisha taswira ya middle East
Haijalishi Israel yupo vizuri kiasi gani kwenye counterintelligence kupitia MOSSAD ila kwa hii death shadow inayokuja bila kaka yake kuingilia kati Israel won't stand a chance atafanywa kitu haijawai tokea
Iran Syria iraq Lebanon Yemen wote wapotayali wanasubili D day
Iran hawezi kushambulia directly, hapo atatumia vikundi vyake vya kigaidi kukwepa makabiliano ya moja kwa moja na IsraeliZiara ya mambo ya nje wa Iran inaashiria kuna jambo zito
Wachambuzi wanadai ni safari za kufanya mazungumzo na proxies wake wote na It seems that the final preparations and discussions are being held with the Axis of Resistance.
Lengo la hizi safari ni maandalizi ya kila upande kukaa tayari
Kinachomuumiza kichwa Iran ni jinsi gani ataishambulia Israel ili kuleta madhara maana Israel wana air defense nyingi na ambazo zinacover eneo kubwa sana la nchi yao na geographia ya eneo lao inawabeba sana..... Kipengele ni kuwa makombora yatalenga shabaha au yatatunguliwa yote? Jee Israel watajibu kwa namna gani?
Hili linanikumbusha ile hadithi ya Israel ilivyolenga kile kituo cha siri cha Nyuklia nadhani ilikua 2007 au 2008 hivi.....Sasa kwenye kujibu Syria walikua na machaguo kuwa watajibu vipi
Walitaka kuitia Israel adabu kwa kufyatua makombora 40 ya maangamizi (mass destruction weapons) maana syria wakati huo walikua na silaha za maangamizi tayari.....kipengele kikawa watajibu sawa reactions ya Israel itakuaje maana silaha za Sumu zina madhara makubwa sana Jee wakijibu na mabomu ya Nyuklia?Maana Israel anazo Silaha za nyuklia tokea zamani tu....Mwishowe Syria akaamua kuipotezea hiyo ishu tu
Ngoja tuoneA barking dog never bite ,Iran hawezi ishambulia Israel directly atatumia vikundi vyake shirika kushambulia maslahi ya Israel au Israel maana anajua A -Z kama ataingia yeye kama yeye ni an open door kupigana na western countries katika ardhi ya Teheran jambo ambapo linasubiriwa kwa udi na uvumba na wazungu ,maana yeye ndio kikwazo kikuu hapo middle East kwa kuwa kinara wa Ku fund vikundi vya kigaidi ,na kununi ni moja kama unataka kumaliza snake hata kama ni mkubwa kiasi gani ni kuponda kichwa chake, kazi utakuwa umemaliza.