LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
Hamna watu wastaarabu kama wapersia , someni historia na mlijuwe hilo taifa la Iran kiundani .
Hao watu wamewahifadhi hao mazayuni maelfu ya miaka mpaka leo na bado wapo Iran .
Kuna wakati Iran ndio ilikuwa taifa lenye idadi kubwa ya wayahudi ukitoa United states .
Halafu bado wanaamini Iran inachuki binafsi na wayahudi , by the way wayahudi feki (,khazars )
Give me a break
Halafu anatokea zoba maamuma mmoja asiyejua kusoma na kuandika anakuambia "Iran inafadhili magaidi "
Ukimuuliza ni magaidi gani ambao Iran inafadhili ,majibu yake utacheza mpaka ufe .
Mara utasikia "Iran taifa la kigaidi "
 
Ndio maana mada nyingi za humu nishaacha kuchangia , nilikuja kugundua kuna level kubwa ya ignorance na illiteracy .
Sikuhizi nasoma comments na kuperuzi tu ,comments za kijinga na kitoto kabisa.
Hamna taifa vumilivu kama Iran , sidhani kama kuna taifa lingeweza kuvumilia upuuzi na provocations zinazofanywa na Israel miaka yote hii , kuua wanasayansi wake nk
 
Huu ukorofi Ayatollah aliuanza tangu tunasoma wote madrasa ,Ila Ayatollah kunja mkeka umeyatimba,
Wale mayahudi wanapiga kwa gubu gubu sana wale
 
Majibu yako yachkue kwenye hiyo defence budget.
 
sasa bibi, iran anasema anaweza nini sasa wakati makombora zaidi ya 300 amerusha yamedakwa na israel haijaathirika kabisa. hayo 300 yangerushwa kuelekea iran ingeyadaka? netanyahu amesema within 48 hours anarusha ya kwake ngoja tuone itakuwaje.
Iran imejipanga Israel akijichanganya tu analo cheki mazoezi ya iran hayo
GLCOPzmXwAESe9F.jpeg
 
Navhojua Is
I never thought kama Iran angefanya direct attack ndani ya Israel. They got balls. Attacks hizi ni tests pia, so wamejua defence capability ya Israe
Nadhani Israel ataanza kutarget na kufanya assassination ya watu Muhimu huKo Iran.
 
P
Propaganda as usual
Propaganda? Kariri hivyo hivyo.

Ila Israel wameonyesha dharau kubwa sana dhidi ya huo 'utoto' wa Iran. Yaani ligi ya soka ya Israel imeendelea leo kama kawaida kana kwamba hakuna kilichotokea. Hii dharau inatia hasira sana! 😆😂🤣

Na kesho Hapoel Beer Haifa atacheza na Maccabi Tel Aviv. Hii ni dharau kubwa sana.
 
I never thought kama Iran angefanya direct attack ndani ya Israel. They got balls. Attacks hizi ni tests pia, so wamejua defence capability ya Israel.
Wana defence gani hao Israel kama sio UK US na France hakuna Israel. Kwa kifupi ni aibu sana. Wanaweza Hamas tu wasio ma ndege vita ila kwa Iran ni moto
 
Wana defence gani hao Israel kama sio UK US na France hakuna Israel. Kwa kifupi ni aibu sana. Wanaweza Hamas tu wasio ma ndege vita ila kwa Iran ni moto
Israel imeshaua Majenerali kadhaa wa Iran. Iran imeua generals wangapi wa Israel? Kuua general unafikiri ni jambo dogo? Hiyo Iran haiwezi Israel.
 
Back
Top Bottom