African Geek
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 817
- 1,470
Ujumbe wa kuua watu? We kweli ni zwazwaMUngu anatumia Israel kuleta ujumbe haichezewi hata kidogo. Mungu awabariki mfunguke zaidi kiakili muache mikurupuko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujumbe wa kuua watu? We kweli ni zwazwaMUngu anatumia Israel kuleta ujumbe haichezewi hata kidogo. Mungu awabariki mfunguke zaidi kiakili muache mikurupuko.
acha kubishana na mchambuzi wa silaha weweunajuaje kama iran yupo kwenye kufanya analysis ya muda mrefu na akaunda chombo chake kupitia madhaifu ya hivi vvyombo vya wamerekani n.k?
hajawai kutengeneza hata kisuacha kubishana na mchambuzi wa silaha wewe
kubali kila analosema
Hizi ndo habari ninàzozipenda, muda wa Israeli kuwafanyia fujo nchi zingine kwa kuwa anajua hawezi kuguswa inabidi ufike mwisho. Nasikia mpango ni kutuma drones kuukeep busy mfumo wa ulinzi wa anga halafu zinatumwa ballistic missiles. Hata zikiwa intercepted ni somo tosha kwa myahudi na next time atawaza mara mbili kabla ya kuwachokoza wenzie
Unaijua japan?, au uingereza alivokoloni wengine? Waambie washirika wake wakubwa wakae pembeni uone🤣Hivi kumbe Israel ndio kanchi kadogo namna hio. Yani ilivyokuwa inazungumziwa ni utadhania ni nyangumi baharini na Iran ni kama kipapa kidogo tu.
Unataka kuongea nnUnaijua japan?
Iran yuko anafanya development ya 3rd generation fighter copy ya F-5 ya Marekani. Marekani mwaka 1962 walikuwa na 3rd generation fighter na sasa hivi wana 5th generation.unajuaje kama iran yupo kwenye kufanya analysis ya muda mrefu na akaunda chombo chake kupitia madhaifu ya hivi vvyombo vya wamerekani n.k?
Nime update kwa kueditUnataka kuongea nn
Jordan ameshaonyesha kumuunga mbariki ushogaKuna kitu bado sijaelewa, vita ni Iran dhidi ya Israel, sasa hizi nchi za Jordan, Syria, Iraq zinajihushaje tena?
Jordan miaka yote ni kigeu geu. Miamba ipoJordan ameshaonyesha kumuunga mbariki ushoga
Kuna wakristo bongo huwaambii kitu kwa mayahudi, sijui wamelishwa nini!Ujumbe wa kuua watu? We kweli ni zwazwa
Washamba hao. Mimi mkristo lakini ukatoliki sioKuna wakristo bongo huwaambii kitu kwa mayahudi, sijui wamelishwa nini!
Jordan na Saudi Arabia zimedungua threats zilizokuwa angani kwao. Anga la nchi ni territory ya nchi husika, ni sawa na Kenya ibebe nyama za watu kwenye trucks kwenda Zambia alafu zipitie Tanzania zikamatwe uhoji kwanini Tanzania imekamata mzigo wa Kenya unaoenda Zambia.Huh??
UK, US, Jordan, na Saudi Arabia zilisaidia kutungua makombora ya Iran na ndege zao zisizo na rubani!
Huo mfumo wa Israel ndo hizo nchi?
Anazipiga kombora kwenye anga lakeJordan miaka yote ni kigeu geu. Miamba ipo
Washamba hao. Mimi mkristo lakini ukatoliki sio
Wakatoliki bado wapo na mentality za papa kuwa rais wa dunia 🤣 🤣 🤣 Ndio hao wanawao support IsrahellUnajitambua mkuu, ubarikiwe sana
Waajemi sio wa mchezo mchezo. Wale sio waarabu mzeeIran wanasema ile shambulio dogo walilolowafanyia Israel ilikua ni salam ya ishara tu kama kuwapungia mkono kwa mbali