Baljurashi
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 1,628
- 2,720
Mdau naona sasa unaanza kuleta ubishi usio na msingi. Kwamba hujaisoma kabisa hiyo article ya Wikipedia?Bado hujanionesha. Mzee
Uigereza tayari na Ufaransa tayari zilikuwa zimeshindwa na Hitler.
Hitler hakuweza kuIshinda Uingereza, malengo yake (katika Battle of Britain) ya kuilazimisha Uingereza kufanya makubaliano ya amani yalishindwa. Uingereza alishinda katika Battle of Britain mwaka 1940. Utasemaje walishindwa?
Ufaransa walishindwa ndio na walikuwa occupied na Nazi Germany na wanazi wakaweka vibaraka wao (Vichy France) pale. Ila Ufaransa illkombolewa kutoka kwa wanazi mwaka 1944. Kasome Operation Overload
Operation Overlord - Wikipedia
Hitler aliingia katika vita na USSR mwaka 1941 wakati hajamshinda Uingereza kwa upande wa magharibi. Hivyo akajikuta anafungua fronts mbili. Wakati moja haimaliza vizuri.Hitler aliamu sasa kwenda kupambana na USSR baada ya kuwadhoofisha UK
Aliwachakaza Poland na lengo lake hasa lilikuwa ni USSR ila mwanzo hakutaka vita na USSR mapema. Hivyo kabla ya kuivamia Poland akafanya makubaliano na hiyo hiyo USSR ya amani. Kasome Molotov-Ribbentrop Pact.Kwanza aliwachakaza Poland na wakampatia njia ya kuingia USSR.
Kasome Operation Overload. Wanazi walii occupy France ndio ila majeshi ya washirika wakaja kuwatoa wanazi mwaka 1944Sasa nioneshe wafaransa walivamiwaje na Hitler na wakashinda
Waingereza walivamiwaje na Hitler wakashinda.
Kasome Battle of Britain