Live coverage on JamiiForums
Ngoja tuone kila mtu yupo tayari .
Israeli Broadcasting Corporation, according to a senior Israeli official: Israel pledged to inform Washington before any offensive action in Iran
---------------------------------

Kama kawaida yao ni lazima wapate ruhusa kutoka kwa big brother. Kama Amerika ipo tayari ku sacrifice sawa!
 
Watalipa kisasi kwa kushambulia washirika wa Iran huko Syria, Lebanon na pengine kuongeza mashambulizi Gaza, lakini sio kuthubutu kugusa ardhi ya Iran. Hilo kosa Netanyahu na Biden wake wahawezi fanya kamwe.
 
Sheria ya ndoa, mke hawezi kwenda popote au kufanya lolote bila ruhusa ya mume.

Hivyo Israel (mke) lazima aombe ruhusa kwaza kwa mume (Marekani) akikubaliwa ataenda, akikataliwa atabaki nyumbani.
 
Mtazamo wa kijiografia na uchaguzi wako wa kuwa upande gani ndivyo vinavyokusukuma kusema hivyo,deeply u know nothing.
Hahahah!

Najua usichokijua! Hivyo sishangazwi na jawabu lako.

Ni kwa vile mapenzi yako yapo kwa Israel. Ila kwa tunaoona mbali hayo mazingira ni Israel inafutika.

Labda aiadhibu Iran kwa namna nyengine ila si kushambulia ardhi ya Iran.
 
Kila upande with their allies wako tayari ku sacrifice jaribu kukiweka kichwa chako kimzani zaidi.
 
Reactions: 511
Israel hapo haombi ruhusa anatoa taarifa tu kama Iran alivyotoa taarifa ndani ya masaa 72 aliwaambia uturuki, Saudia Arabia, Qatar na marekani kuwa anajiandaa kuipiga israeli.
 
Israel hawezi kulipiza leo au kesho itachukua mda hata Marekani kasha mkataza kulipiza haraka,......escalation ya vita itakua kubwa zaidi kuizuia vita ikianza, hizo ni mbwembwe za natanyahu, huo Muziki sio mdogo.
 
Baada ya kushambuliwa kwa makombola na ndege nyuki zaidi ya 300.
Baraza la Vita limepitisha azimio la kulipa kisasi kama fundisho kwa wote wanaotaka ishambulia Israel.
Bila msaada wa Marekani wataweza ?
 
Hahahah!

Najua usichokijua! Hivyo sishangazwi na jawabu lako.

Ni kwa vile mapenzi yako yapo kwa Israel. Ila kwa tunaoona mbali hayo mazingira ni Israel inafutika.

Labda aiadhibu Iran kwa namna nyengine ila si kushambulia ardhi ya Iran.
Hii ipo toka enzi za vita vya ghuba hata kule bungu,jaribu,kibiti....kiimani tegemeo la ushindi lilikuwa hilohilo tunawajua.
 
Watalipa kisasi kwa kushambulia washirika wa Iran huko Syria, Lebanon na pengine kuongeza mashambulizi Gaza, lakini sio kuthubutu kugusa ardhi ya Iran. Hilo kosa Netanyahu na Biden wake wahawezi fanya kamwe.
Na mimi ndiyo nasubiri wafanye ili tuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…