LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
nadhani tuzidi kuomba Mungu vita isiendelee, kwasababu dakika kadhaa zilizopita, inaonyesha israel imeandaa ndege tayari. yaonekana walikuwa wanazuga kuwa wamesitisha ili adui ajisahau wao wapange mipango yao. hali sio nzuri, mafuta yatapanda na maisha magumu africa yanakaribia.
 
Baada ya kushambuliwa kwa makombola na ndege nyuki zaidi ya 300.
Baraza la Vita limepitisha azimio la kulipa kisasi kama fundisho kwa wote wanaotaka ishambulia Israel.
Israel hawezi kulipiza leo au kesho itachukua mda hata Marekani kasha mkataza kulipiza haraka,......escalation ya vita itakua kubwa zaidi kuizuia vita ikianza, hizo ni mbwembwe za natanyahu, huo Muziki sio mdogo.
 
Back
Top Bottom