LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
Wairan wameshasema tena, ile jana ilikuwa tiisha toto, mkiendelea na mauwaji ya Wapalestina na sisi tutakuja kwa nguvu haswa, jana ilikuwa kuwaonya tu.

Iran yatoa onyo; Tunaweza kufanya mara 100 ya jana bila kutetereka, tunaelekea huko, jana ilikuwa ni kutimiza ahadi tu.

Matokepo ya jana yalikuwa mazururi kuliko tulivyotarajia.
Yan we bi kidude hakuna kit unajua ni nakuonaga unatapa tapa hauna facts ni mdondo tu
 
Hivi mmesahau USA alipigwa na Iran makombora kwenye base yake pale Iraq na hajawahi kujua yalituaje na patriot ilikuwepo na hakufanya chochote japokuwa wanajeshi wake walikufa na wengi wana watatizo ya akili japokuwa walijifungia kwenye ma bunker. Tena kipindi cha trump, nae alipiga kimya kama siyo yeye aliyetangaza kumuua soleiman kwa mbwembwe. Usa kamshauri vyema israel, atamsaidia kwenye defence, offense no way anajua shughuli ya Iran

Hii retaliation imetoa funzo kwa ncho zote zinazoleta chokochoko kwa Iran, alishajifunza US na sasa Israel, mpaka wajipange tena.
 
Irani sio Hamas na Hata Israel hilo Analijua Sana tu hii shughuli Ningependa Dunia Ikajitenga Ikawaacha Mtu 2 tuone
wasiingilie Waiache Iran Vs Israel Tushuhudie Mtanange

20240415_203553.jpg

⚡️BREAKING

Abolfazl Amoui, spokesman for the National Security and Foreign Policy Committee of the Iranian Parliament says Iran is ready to use weapons that it has not used before and we have a plan for all scenarios if Israel escalates
 
Hivi mmesahau USA alipigwa na Iran makombora kwenye base yake pale Iraq na hajawahi kujua yalituaje na patriot ilikuwepo na hakufanya chochote japokuwa wanajeshi wake walikufa na wengi wana watatizo ya akili japokuwa walijifungia kwenye ma bunker. Tena kipindi cha trump, nae alipiga kimya kama siyo yeye aliyetangaza kumuua soleiman kwa mbwembwe. Usa kamshauri vyema israel, atamsaidia kwenye defence, offense no way anajua shughuli ya Iran

Hii retaliation imetoa funzo kwa ncho zote zinazoleta chokochoko kwa Iran, alishajifunza US na sasa Israel, mpaka wajipange tena.

View: https://twitter.com/Osint613/status/1779920409787314363?t=EOTv2LmlxleFnwndJw-C1g&s=19
 
Back
Top Bottom