Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 2,223
- 3,961
Middle East vita wanapigana kwa propaganda zaidi kuliko kawaidaBREAKING
Abolfazl Amoui, spokesman for the National Security and Foreign Policy Committee of the Iranian Parliament says Iran is ready to use weapons that it has not used before and we have a plan for all scenarios if Israel escalates
Itakuwa ngumBila msaada wa Marekani wataweza ?
Sote tunasubiri tuone mwisho wa kauli zao.Na mimi ndiyo nasubiri wafanye ili tuone.
Hakuna kitu kama hicho! Hayo ni mawazo yako tu.Kila upande with their allies wako tayari ku sacrifice jaribu kukiweka kichwa chako kimzani zaidi.
Zipigwe tu Ila wakitugusa Africa wajiandikie wamekwishaVitakua ni vita vigumu sana.
Na kushabikiaNgoja tusubiri.
Sisi kazi yetu ni kuleta taarifa tu hapa!
Kinachofanyika ni kwamba matamko ni sehemu ya historia ili kikitokea cha kutokea ikumbukwe kwamba ilishasemwa. Ikiwekwa kwenye kumbukumbu isaidie kama marejeo kwa siku za mbeleni.Middle East vita wanapigana kwa propaganda zaidi kuliko kawaida
Ewaaa! Hujakosea.Na kushabikia
Kila kitu wanaambiana kabla hawajafanya. Tena kwa details. Na wanareportiana.Hakuna vita wala chochote hapo, hao iran na israil ni kitu kimoja kabisa, wanatuchezea akili tu,
leo ni miaka mingapi tangu iran aliposema ataishambulua israel? Na sasa ameshambulia huku akiwaambia kuwa nimetuma drone kiasi kadhaa na zitafika huko mda kadhaa, huu ni utoto plus
Yaani iran, usa, Israel na wa ulaya wengi tu ni dugu moja
Zipigwe tuIsrael's Defense Minister says: Tel Aviv has completed its preparations to respond to any scenario that is created against Iran.View attachment 2956851