LIVE Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel, Palestine Gaza na Iran
Live coverage on JamiiForums
BREAKING

Abolfazl Amoui, spokesman for the National Security and Foreign Policy Committee of the Iranian Parliament says Iran is ready to use weapons that it has not used before and we have a plan for all scenarios if Israel escalates
Middle East vita wanapigana kwa propaganda zaidi kuliko kawaida
 
Waajemi wapo na satellites za kuichungulia middle east yote
1713208700284.png


Huku waarabu wakiwekeza kwenye madrasa, waajemi wamewekeza kwenye technology
 
Kila upande with their allies wako tayari ku sacrifice jaribu kukiweka kichwa chako kimzani zaidi.
Hakuna kitu kama hicho! Hayo ni mawazo yako tu.

US kambi zake 2 zilishambuliwa kwa Iran kulipiza kisasi nchini Iraq. Marekani alifanya kipi? Hakufanya chochote. Unafikiri Marekani hakuwa na uwezo?

Marekani haiwezi ikamruhusu Israel alipize kisasi ndani ya ardhi ya Iran. Bali atamruhusu alipize kisasi kwa namna nyengine.

Mashariki ya kati hapo pamekaa vibaya sana. Si parahisi kihivyo hususani kwa nguvu aliyokuwa nayo Iran na kwa ushawishi alikyokuwa nao kwa sasa.
 
Hakuna vita wala chochote hapo, hao iran na israil ni kitu kimoja kabisa, wanatuchezea akili tu,

leo ni miaka mingapi tangu iran aliposema ataishambulua israel? Na sasa ameshambulia huku akiwaambia kuwa nimetuma drone kiasi kadhaa na zitafika huko mda kadhaa, huu ni utoto plus

Yaani iran, usa, Israel na wa ulaya wengi tu ni dugu moja
Kila kitu wanaambiana kabla hawajafanya. Tena kwa details. Na wanareportiana.
 
Back
Top Bottom