Live coverage on JamiiForums
Ile ya kifusi kilichochimbwa na koleo uiongezee. Mabomu yamepigwa kwenye military facilities. Huko demage na vifo vya kuuzia sura kupata huruma za dunia Israel hana na hawezi kuweka.

Pia kumbuka Iran ilitoa taarifa masaa 72 kabla ya kushambulia. Lengo lao naona ilikuwa ni kuharibu uwanja unaolindwa nq mifumo ili kutisha pote israel kuwa wanawesa kubypass irone dome na kulipua popote. Na hapo wanasema hawajatumia hypersonic missisle yoyote.

Hii vita sio ya kulinganishwa na ile na Hamas. Ni kitu cha kuomba kiepukwe kabisa.
 
Hamna vita hapo, Irani hawezi kuwa mjinga kiasi hicho kuingia kwenye mtego wa vita ya moja kwa moja watammaliza.

Alichofanya ni kujibu kwa kujidefend tu ila ndo imeisha hiyo, atapigana indirect kwa kusapoti vikundi.

Japo lolote linaweza kutokea maana Israel nao ni jeuri sana wanaweza kujibu na hapo ndipo hali itakuwa mbaya.
 
Wajibu tuone waache makelele.
 
Weka picha hapa gazeti refu

View: https://twitter.com/MOSSADil/status/1779583520249090130?t=n8ivnjurHR9Si4HlJpnH2A&s=19
 
Baada ya kushambuliwa kwa makombola na ndege nyuki zaidi ya 300.
Baraza la Vita limepitisha azimio la kulipa kisasi kama fundisho kwa wote wanaotaka ishambulia Israel.
🚨🇮🇷🇷🇺 URUSI ilisema ni UNAFIKI kwa mtu yeyote KULAANI USHAMBULIAJI WA IRAN JUU YA ISRAEL ikiwa atapuuza USHAMBULIAJI WA ISRAEL dhidi ya ubalozi mdogo wa Iran.
 
Hiyo vita ikiianza sio ya kitoto mziki wake hata wewe utausoma huko nyanjirinji.
Tumechoka kuhadithiwa mambo ya Vita ya dunia ya1&2 Sasa watuletee ya 3(Kama itasababishwa na Hawa) tuishuhudie bila chenga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…