Ahyan
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 2,310
- 5,482
Wenzao waliharibu kwanza mifumo ya anga mashariki ya kati yote... Sijui wao watafanya nn, ngoja tuone🍿🍿Wanatumia anga la nchi gani Ili kuifikia Iran?....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenzao waliharibu kwanza mifumo ya anga mashariki ya kati yote... Sijui wao watafanya nn, ngoja tuone🍿🍿Wanatumia anga la nchi gani Ili kuifikia Iran?....
Kuna marehemu hata mmoja hapo?
View: https://twitter.com/MOSSADil/status/1779931683787022380?t=Vb82bWfacq4bv5fdhynjow&s=19
Wenzao waliharibu kwanza mifumo ya anga mashariki ya kati yote... Sijui wao watafanya nn, ngoja tuone[emoji897][emoji897]
Kwani Iran hana Nuclear nyie oteni tuNi kweli..
Nukes zinakuwa last resort.
Nchi ikiona inaelekea kwenye hatari ya kuangamia lazima itulize adui kwa hayo madude
Wajibu tuone waache makelele.Hamna vita hapo, Irani hawezi kuwa mjinga kiasi hicho kuingia kwenye mtego wa vita ya moja kwa moja watammaliza.
Alichofanya ni kujibu kwa kujidefend tu ila ndo imeisha hiyo, atapigana indirect kwa kusapoti vikundi.
Japo lolote linaweza kutokea maana Israel nao ni jeuri sana wanaweza kujibu na hapo ndipo hali itakuwa mbaya.
Weka picha hapa gazeti refuIle ya kifusi kilichochimbwa na koleo uiongezee. Mabomu yamepigwa kwenye military facilities. Huko demage na vifo vya kuuzia sura kupata huruma za dunia Israel hana na hawezi kuweka.
Pia kumbuka Iran ilitoa taarifa masaa 72 kabla ya kushambulia. Lengo lao naona ilikuwa ni kuharibu uwanja unaolindwa nq mifumo ili kutisha pote israel kuwa wanawesa kubypass irone dome na kulipua popote. Na hapo wanasema hawajatumia hypersonic missisle yoyote.
Hii vita sio ya kulinganishwa na ile na Hamas. Ni kitu cha kuomba kiepukwe kabisa.
waambie na Iran waanzisheYaani mnaanzisha Baraza la Vita; yaani mission ni vita! Hatari sana.
Mmeua makamanda wangapi wa israel ?Mbwembwe zote za Israel kwisha. Sasa hivi mnabweka tu. Tunasubiri mrushe mchanga tuwanyoe tena
Kwani Iran Hana Nukes?The best alizo nazo Iran ni supersonic missiles..
Israel pia anazo hizo plus Nukes
Hiyo vita ikiianza sio ya kitoto mziki wake hata wewe utausoma huko nyanjirinji.Wajibu tuone waache makelele.
Story za Movie hizpIran isisahau MOSAD wapo siku nyingi ndani ya Iran! Huenda mashambulizi ya Israel yatatokea ndani ya Iran yenyewe.
Nimependa hii ...Jeshi la Anga Israel tayari limejiandaa mashambulizi
Netanyahu kagoma kupokea simu za viongozi kadhaa
Israel itaenda yenyewe kuipiga Iran
🚨🇮🇷🇷🇺 URUSI ilisema ni UNAFIKI kwa mtu yeyote KULAANI USHAMBULIAJI WA IRAN JUU YA ISRAEL ikiwa atapuuza USHAMBULIAJI WA ISRAEL dhidi ya ubalozi mdogo wa Iran.Baada ya kushambuliwa kwa makombola na ndege nyuki zaidi ya 300.
Baraza la Vita limepitisha azimio la kulipa kisasi kama fundisho kwa wote wanaotaka ishambulia Israel.
Tumechoka kuhadithiwa mambo ya Vita ya dunia ya1&2 Sasa watuletee ya 3(Kama itasababishwa na Hawa) tuishuhudie bila chenga.Hiyo vita ikiianza sio ya kitoto mziki wake hata wewe utausoma huko nyanjirinji.