Live coverage on JamiiForums
Wanaukumbi.

⚡️BREAKING: Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu:

"Usiku wa leo, vikosi vyetu vilirudisha miili sita ya watekaji nyara ambao walikuwa wakishikiliwa na shirika la kigaidi la Hamas: Avraham Mundar, wa kumbukumbu yenye baraka, Alex Danzig, wa kumbukumbu yenye baraka, Chaim Peri, wa kumbukumbu yenye baraka, Yagav Buchstab, wa kumbukumbu yenye baraka. , Yoram Metzger, wa kumbukumbu iliyobarikiwa, na Nadav Poplawell, wa kumbukumbu iliyobarikiwa.

Mioyo yetu sote ina uchungu kwa hasara hiyo mbaya. Mke wangu Sarah na mimi tunatuma salamu zetu za rambirambi kwa familia wapendwa.

Ningependa kuwashukuru askari na makamanda jasiri wa IDF na Shin Bet kwa ushujaa wao na hatua iliyodhamiria.

Taifa la Israel litaendelea kufanya kila jitihada kuwarejesha watu wote waliotekwa nyara - walio hai na waliokufa."


View: https://x.com/suppressednws/status/1825795588492784063?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Ndio ushindi pekee huo wanaoweza kujivunia

Maana kuwaokoa wameshindwa kabisa kabisa

Ingalikua ile israhell ya huliwudi muda huu mateka wangekua nyumbani wote kabisa

Ila israhell halisia ndio hio sasa wanafurahia mizoga
 
Kweli maana dah magaidi ya kipalestina zaidi ya 40,000 yamepelekwa kuzimu
Si vichaa tu ndio watajisifia wameuwa watoto na wanawake wakiwaita magaidi, wewe jidangan'ye tu Yesu kachukua dhambi zako.

Hayo maneno yako ya kufurahia roho za watu kufa na kuwaita magaidi utaulizwa tu na Mungu., ulete dalili zako.
 
Si vichaa tu ndio watajisifia wameuwa watoto na wanawake wakiwaita magaidi, wewe jidangan'ye tu Yesu kachukua dhambi zako.

Hayo maneno yako ya kufurahia roho za watu kufa na kiwaita magaidi utaulizwa tu na Mungu., ulete dalili zako.
Hata wale watanzania waliouliwa na hao magaidi nao pia walikuwa ni watu vilevile japo wengine hamlitambui hilo mnaona wapalestina wanaouwawa tu kwa kuponzwa na magaidi wa Hamas.
 
Nani kakwambieni Netanyahu anahitaji kuokoa mateka?

Ni kwamba, Hamas bora wangeliishia kuuwa watu tu siku ile wasichukue mateka, vita ingekuwa ishaisha kitambo

Netanyahu kajifichia kwa mateka, lengo siyo kuokoa mateka, lengo ni kusafisha Gaza na washirika wake huku akiwa na akiba ya maneno 6 tu, yaani (MATEKA)
 
Hata wale watanzania waliouliwa na hao magaidi nao pia walikuwa ni watu vilevile japo wengine hamlitambui hilo mnaona wapalestina wanaouwawa tu kwa kuponzwa na magaidi wa Hamas.
Wale we hukuona picture zao walikuwa askari, nyie watu wa mission huwa waongo sana. Eti walienda kusoma shenzi type
 
Inakuwaje wanajamvi!

Mwanamke mpalestina amemlaani kiongozi wa Hamas Yahya sinwar pamoja na hilo kundi la kigaidi Hamas live kwenye matangazo ya Aljazeera. "May Allah curse you, Sinwar and Hamas,".

Mwanamke huyo alijitokeza live kwenye Camera ambapo mwandishi wa Aljazeera alipokuwa anatangaza moja kwa moja kutoka Gaza. Na kuanza kulaani huku akilia baadaye kuburuzwa na mwanamme mmoja kutoka kwenye Camera.

Na hii siyo mara ya Kwanza wapalestina kulaani Hamas aljazeera na kujitahidi kuficha.

Mwezi wa nne majeruhi Hospitalini akihojiwa live na Aljazeera aliwalaani Hamas na kuwashutumu kwa kujificha katikati ya raia na aljazeera kukata matangazo.


View: https://x.com/IhabHassane/status/1825959657795719391
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…