Live coverage on JamiiForums
Amemaanisha ana mawazo tofauti na Nasrallah ambaye alisema hatoacha ujinga wake hadi Israel itoke Gaza
Wewe sasa ndio umetema bungo sio yeye hahah mana umeshindwa hata kuelewa hapa.

, and once diplomacy can achieve it,
 
Leo ndio Hizbullah wanajifanya kuongelea ceasefire pumbavu kabisa mwaka mzima Israel imetumia diplomasia kuwasihi waache kurusha rockets wamejifanya vidume Leo wanapelekewa moto ndio wanajifanya kufikiria njia ya majadiliano?
 
Sielewi lugha za kijinga, "wanatema bungo" ndiyo nini?
 
Leo ndio Hizbullah wanajifanya kuongelea ceasefire pumbavu kabisa mwaka mzima Israel imetumia diplomasia kuwasihi waache kurusha rockets wamejifanya vidume Leo wanapelekewa moto ndio wanajifanya kufikiria njia ya majadiliano?
Kwani hapo wamekwambia wataacha kurusha roketi au ceasefire ina masharti yake pia yasipo zingatiwa mwendo ni uleule
 
wameonesha dalili ya kabidilisha msimamo
Kingereza huelewi na Kiswahili huelewi, nimeuliza "kutema bungo" ndiyo nini?

Sikukuuliza Kingereza kimesema nini. Hayo ni maneno ya mtafasiri tu, kama huelewi, hao wanaongea Kiarabu.
 
Aya inayowahusu wazinifu hii hapa ni bakora.100!
👇🏽👇🏽
الزَّانِيَةُ وَالزَّانِي فَاجْلِدُوا كُلَّ وَاحِدٍ مِّنْهُمَا مِائَةَ جَلْدَةٍ ۖ وَلَا تَأْخُذْكُم بِهِمَا رَأْفَةٌ فِي دِينِ اللَّهِ إِن كُنتُمْ تُؤْمِنُونَ بِاللَّهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ ۖ وَلْيَشْهَدْ عَذَابَهُمَا طَائِفَةٌ مِّنَ الْمُؤْمِنِينَ

[ AN - NUR - 2 ]
Mzinifu mwanamke na mzinifu mwanamume, mtandikeni kila mmoja katika wao bakora mia. Wala isikushikeni huruma kwa ajili yao katika hukumu ya Mwenyezi Mungu, ikiwa nyinyi mnamuamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho. Na lishuhudie adhabu yao kundi la Waumini.

Aya hii inahusu wanawake Wanao SAGANA
👇🏽👇🏽
ayat 15 from Surah An-Nisa
﴿وَاللَّاتِي يَأْتِينَ الْفَاحِشَةَ مِن نِّسَائِكُمْ فَاسْتَشْهِدُوا عَلَيْهِنَّ أَرْبَعَةً مِّنكُمْ ۖ فَإِن شَهِدُوا فَأَمْسِكُوهُنَّ فِي الْبُيُوتِ حَتَّىٰ يَتَوَفَّاهُنَّ الْمَوْتُ أَوْ يَجْعَلَ اللَّهُ لَهُنَّ سَبِيلًا﴾
[ النساء: 15]

Na ambao wanafanya uchafu miongoni mwa wanawake wenu, washuhudizieni watu wane katika nyinyi. Watakapo shuhudia, basi wazuieni majumbani mpaka wafishwe na mauti au Mwenyezi Mungu awatolee njia nyengine.

Aya hii inahusu wanaume wao FIRANA!
👇🏽👇🏽
ayat 16 from Surah An-Nisa
﴿وَاللَّذَانِ يَأْتِيَانِهَا مِنكُمْ فَآذُوهُمَا ۖ فَإِن تَابَا وَأَصْلَحَا فَأَعْرِضُوا عَنْهُمَا ۗ إِنَّ اللَّهَ كَانَ تَوَّابًا رَّحِيمًا﴾
[ النساء: 16]

Na wawili kati yenu wafanyao hayo waadhibuni. Na wakitubia wakatengenea basi waacheni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa kupokea toba, Mwenye kurehemu.

Usione Wakristo ni maamuma dogo!; hata muham mad aka allah ametupa darja la Usomi na Ucha ucha MUNGU!
👇🏽👇🏽
۞ لَتَجِدَنَّ أَشَدَّ النَّاسِ عَدَاوَةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الْيَهُودَ وَالَّذِينَ أَشْرَكُوا ۖ وَلَتَجِدَنَّ أَقْرَبَهُم مَّوَدَّةً لِّلَّذِينَ آمَنُوا الَّذِينَ قَالُوا إِنَّا نَصَارَىٰ ۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّ مِنْهُمْ قِسِّيسِينَ وَرُهْبَانًا وَأَنَّهُمْ لَا يَسْتَكْبِرُونَ

[ AL - MAIDA - 82 ]
Hakika utawakuta walio shadidi kuliko watu wote katika uadui kwa walio amini ni Mayahudi na washirikina. Na utawakuta walio karibu mno kwa mapenzi ni wale wanao sema: Sisi ni Wakristo. Hayo ni kwa sababu wapo miongoni mwao wasomi na wacha Mungu, na kwa sababu wao hawafanyi kiburi.
 
Msome tena ame-quote biblia, kuna aya inaitwa "samuel" kwenye Qur'an?

Mbona unahamisha magoli bila mpango?
 
Nasisitiza tena tuchuje hizi habari ili tusiingizwe mkenge na watu wenye ajenda zao.Mpaka sasa dunia hii hakuna mfumo wowote unaoweza kuzuia kombora la Hypersonic.Juzi IRAN kapiga ballistic missile tu na hiyo arrow system haikuweza kuzizuia,eti leo wazuie kombora linalokwenda kwa kasi ya 6000--11000ms.Pengine kwa baadae lakini kwa sasa hakuna teknolojia hiyo.
 
Msome tena ame-quote biblia, kuna aya inaitwa "samuel" kwenye Qur'an?

Mbona unahamisha magoli bila mpango?
Kweli haimo Ndani yake Asiweke #ya magari kama mjuzi aweke hizo Aya tutamtia adabu!; au msaidie ww kuweka hayo mafungu...
 
Sio baadhi bali UISLAM mzima haukubaliani na wanachofanya ISIS.
 
Kwani mtu atakuwa na interest gani kuleta taarifa kama hizi,sioni.Halafu ni vema tukatamani kujifunza,kuliko kudhani kila tusichokijua hakipo.
 
Hao Israel wanaoshindwa na Hamas!?
Msiwaone Hizbollah kukaa kimya ni wajinga.
Kajifunze ya Bint Jubeir.
Hamas washukuru nchi zinazopakana na Gaza kuwakataa wapelestina maana huo mrundikano wa raia unawapa faida sana wakiambiwa waende north wanaenda nao raia wakiambiwa warudi south Hamas wanajichanganya nao tofauti na Lebanon kule raia wanauwezo wa kwenda Syria ama northern Lebanon hivyo kuwa expose Hizbullah kutoka kwenye kichapo Cha IDF.
 
Kwani hapo wamekwambia wataacha kurusha roketi au ceasefire ina masharti yake pia yasipo zingatiwa mwendo ni uleule
Lugha Yao Toka mwanzo ni kwamba hawataacha kurusha rockets mpaka IDF watakapositisha operation Gaza naona lugha inaanza kubadilika na mm nasema hakuna Cha ceasefire IDF pelekea moto hao wapumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…