kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
- Thread starter
- #1,541
Masaa machache yajayo dunia inaenda kushuhudia mambo mazito
Haki ya Mungu nawaambia Israel inaenda kujuta kwa walichokifanya kwa Iran
Natamani hata msome alama za nyakati, yaani dunia inaenda kubaki kwa mshangao
Masaa machache maelfu ya Makombora, drones na wanajeshi kutoka Iran,Iraq,Lebanon,Syria na Yemen yanaenda kuipiga Israel
Kitakua ni kipigo cha karne tokea dunia iumbwe, utawala wa Israel utajuta mno kwa walichokifanya.
Msifikiri ni mchezo wa makombora tu, this time ni full scale war inaenda kuanza
Masaa machache dunia inaenda kushuhudia mazito, taifa la Israel litajutia sana kwa walichokifanya nimeona raia wakijiandaa kukimbia nchi mamia wameelekea airpot lakini haitosaidia
This time Israel inaenda kufanywa kitu kibaya mno