Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NOTEDMuambie Mama aoneshe mamlaka, ziara mikoa mi2 itaisha hajafuta kazi fisadi hata mmoja...au anawaogopa?!.
Rais awaogope watu ?!!!Muambie Mama aoneshe mamlaka, ziara mikoa mi2 itaisha hajafuta kazi fisadi hata mmoja...au anawaogopa?!.
Rais wetu Dkt Samia tunampenda mno mno!Karibuni katika mkutano mkubwa wa Rais Samia hapa Tandahimba
View attachment 2750751
Picha inaongea mengi Sana hii
DuhWalimu,wafanyakazi wa serikali,wanafunzi wote mnatakiwa kuwepo na kutakuwepo na daftari la waliokuwepo
[emoji7][emoji2956]Rais wetu Dkt Samia tunampenda mno mno!
Karibuni katika mkutano mkubwa wa Rais Samia hapa Tandahimba
View attachment 2750751
Picha inaongea mengi Sana hii
Hahaaaa...Jumbe Brown!!Wilaya inajua matatizo ya wananchi....mengine yako juu yao....leo mama anakuja kuyasikiliza na kuyatatua yaliyo nje ya uwezo wa uongozi wa wilaya.....
#Tuna Imani Na Mh.Rais Samia[emoji120]
Mafisadi hawafutwi kazi katika mikutano ya barabarani.Muambie Mama aoneshe mamlaka, ziara mikoa mi2 itaisha hajafuta kazi fisadi hata mmoja...au anawaogopa?!.
Mbona watu ni wengi wamejitokeza tofauti na picha uliyoipiga...Karibuni katika mkutano mkubwa wa Rais Samia hapa Tandahimba
View attachment 2750751
Picha inaongea mengi Sana hii