political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,827
- 5,994
Kama aya ndio yanayoendelea uko Kigoma kwenye uwanja wa mashujaa niseme tu Azam FC leo kazi wanayo siyo kwa ushirikina huu[emoji15][emoji15].. SLOGAN YAO MPIRA KIDOGO UCHAWIMWINGI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23] pira uchawi bila kafaraMpira wetu kivyetu vyetu.
Acha afe ndo akome kuwakazia Simba na YangaAZAM ANAFUNGWA LEO
Tekilizi 😅😅Kigoma Miaka yote walishindwa kuwa na timu ya ligi kuu.
Kama uchawi unafanya kazi Nigeria angekuwa na Bingwa mtetezo wa kombe la Dunia.
Wanacheza kifaza sana.Ule moto wote walioanza nao kina akaminko,kipre na prince vimepotea.Azam anakufa tena leo,naona wachezaji wapo kwenye mgomo wa kumfungisha virago Dabo japokuwa Mmiliki wao alisema kuwa safari hii hatafukuza makocha tena bali wachezaji ngoja tuone.
Kuna mindset wanayo wachezaji wa azam pale ni holiday place ila ndoto zao ni yanga na simbaWanacheza kifaza sana.Ule moto wote walioanza nao kina akaminko,kipre na prince vimepotea.
Sent using Jamii Forums mobile app
ngumu wanapekeka Moto kinyamaAzam anakaa tena
Yule kocha anajitahidi sana wachezaji ndio jau kina bajanangumu wanapekeka Moto kinyama
Tatizo kwenye finishing hawana maarifa kabisa wanatengeneza nafasi nyingi Ila wanashindwa kuzitumiaYule kocha anajitahidi sana wachezaji ndio jau kina bajana
Hawana umakiniUzi umepoa sana. Ila Azam anapeleka mashambulizi hapa