Wamefungwa kirahisi sana, hizi timu zifocus kwenye kutafuta matokeo uwanjani sio kampeni za sijui Kigoma hatoki mtu...hiyo aliweza tu Mbeya City kipindi kile kwakua walikua na ubora mkubwa kuanzia wachezaji adi benchi la ufundi lakini pia viwango vya timu nyingi vilikua vinakaribiana sana...sio leo unacheza vs Kipre Junior, vs Feitoto, vs Bangala, vs Silla, vs Bajana, afu Dube, Nado, Lyanga wako benchi wanasubiri wewe umekalia tu kusema Lake Tanganyika hatoki mtu...ngoja waje Simba na Yanga watakula 8 hapo hapo waache kelele watafute matokeo home and away