Yanayojiri Lake Tanganyika; Mashujaa vs Azam FC. Uchawi watamalaki mnyama akichinjwa hadharani

Yanayojiri Lake Tanganyika; Mashujaa vs Azam FC. Uchawi watamalaki mnyama akichinjwa hadharani

Kwenye mpira hayo mambo yapo,
Ila kwa ukatili walioufanya kwa huyo kiumbe kipigo kiendelee kuwakuta tu mashujaa..
 
Bhaya mambo ni yakufanyika kwa simba na yanga sio timu zisizo jiweza😂😂😂 mnamlipa mganga aftatu mnatarajia nn lazima mpigwe tatu
 
View attachment 2801208View attachment 2801209View attachment 2801211
Imekuwa kawaida sana wana Kigoma Region Tanzania kujivunia uchawi na ujinga wa aina hiyo ambao hata Mshana Jr aliamua aachane nao.

Mashujaa ya Kigoma jana walifanya vitendo vya urozi hadharani kwa kumchinja kikatili mnyama.

Mungu si Arhumani wala @Wilfed Kidao, wana Kigoma Region Tanzania wakakutana na kipigo kizito kutoka kwa watoto wa tajiri.

Mkiendekeza uchawi, mtapigwa kila mechi mpotee kabisa kwenye ramani ya soka kama walivyopotea RTC KIGOMA & RELI KIGOMA
Huyo paka
 
Back
Top Bottom