Yanayojiri Lake Tanganyika; Mashujaa vs Azam FC. Uchawi watamalaki mnyama akichinjwa hadharani

Wanacheza kifaza sana.Ule moto wote walioanza nao kina akaminko,kipre na prince vimepotea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mindset wanayo wachezaji wa azam pale ni holiday place ila ndoto zao ni yanga na simba

Ndyo maana hata wakisajili mchezaji mzuri vipi akifika tu klabuni anakuta wenzake vibe lipo chini na yeye anaingia kwenye mkumbo huo huo

Kwa kifupi kwa wachezaji wengi azam ni sehemu ya kupiga hela na kula bata basi

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Uwanja mzuri Sana na mpira umeanza Kwa kasi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…