Mundele Makusu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,488
- 3,481
Hii kwenye picha ni nn mkuuKama aya ndio yanayoendelea uko Kigoma kwenye uwanja wa mashujaa niseme tu Azam FC leo kazi wanayo siyo kwa ushirikina huu[emoji15][emoji15].. SLOGAN YAO MPIRA KIDOGO UCHAWIMWINGI.
View attachment 2799975
Ni ujinga ujinga tu Mkuu. Nitashangaa kama TFF na Bodi ya Ligi wataacha huu ujinga upite bila hatua yoyote ya maana.Kigoma Miaka yote walishindwa kuwa na timu ya ligi kuu.
Kama uchawi unafanya kazi Nigeria angekuwa na Bingwa mtetezo wa kombe la Dunia.
Wafungaji ni wachezaji wapi wa azam.?dakika ya 67 AZAM 1 -MASHUJAA 0
DAKIKA YA 70 AZAM 2- MASHUJAA 0
dakika ya 74 AZAM 3 - MASHUJAA 0
Amebana ameachiaWafungaji ni wachezaji wapi wa azam.?
Kuna walioponda azam humu eti watafungwa,wachezaji wana mgomodakika ya 67 AZAM 1 -MASHUJAA 0
DAKIKA YA 70 AZAM 2- MASHUJAA 0
dakika ya 74 AZAM 3 - MASHUJAA 0
Wanaotetea haki ya wanyama hapa nchini hakuna?Kama aya ndio yanayoendelea uko Kigoma kwenye uwanja wa mashujaa niseme tu Azam FC leo kazi wanayo siyo kwa ushirikina huu[emoji15][emoji15].. SLOGAN YAO MPIRA KIDOGO UCHAWIMWINGI.
View attachment 2799975
Kafara izo za wanyamaHii kwenye picha ni nn mkuu
Mashujaa hamna kitu pale, wajipange sana.Kwaiyo kafara la paka limemeshindwa kufanya kazi? Kumbe kigoma hakuna uchawi
Kuna wapuuzi baada ya kuona paka kachinjwa walimuua Azam FcAzam leo wamewapa watu hela kuna Mtu kaweka 2.8Milioni kampa azam ashinde kala 5.7milioni..
Ameula wa chuyaKu
Kuna wapuuzi baada ya kuona paka kachinjwa walimuua Azam Fc
Wazee wa mapigo na mwendoMashujaa Ni Mbwembwe Tu Kasha Kufa Huko Azam Anaongoza
Wamelambishwa askrimu za bakhresa wamelewaWazee wa mapigo na mwendo
Kwahiyo uchawi wao haukufua dafu, sio?dakika ya 67 AZAM 1 -MASHUJAA 0
DAKIKA YA 70 AZAM 2- MASHUJAA 0
dakika ya 74 AZAM 3 - MASHUJAA 0