Yanayojiri Lake Tanganyika; Mashujaa vs Azam FC. Uchawi watamalaki mnyama akichinjwa hadharani

Kwahiyo uchawi wao haukufua dafu, sio?
Mambo hayo awaachie mbumbumbu ndio wataalam.
Nawatilia mashaka sana watu wanao amini uchawi katika mpira.

Mpira ni mchezo wa wazi, hao wachawi mbona huwa hatuwaoni wakifunga??
 

Imekuwa kawaida sana wana Kigoma Region Tanzania kujivunia uchawi na ujinga wa aina hiyo ambao hata Mshana Jr aliamua aachane nao.

Mashujaa ya Kigoma jana walifanya vitendo vya urozi hadharani kwa kumchinja kikatili mnyama.

Mungu si Arhumani wala @Wilfed Kidao, wana Kigoma Region Tanzania wakakutana na kipigo kizito kutoka kwa watoto wa tajiri.

Mkiendekeza uchawi, mtapigwa kila mechi mpotee kabisa kwenye ramani ya soka kama walivyopotea RTC KIGOMA & RELI KIGOMA
 

Au watapotea Kama mbaga FC
 
Wajinga sana pesa yao imeenda bure.. Uchawi ni booster tu tena ya kubahatisha .. Mpira ni mipango mazoezi na vipaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatariii sana, ila watakuwa walitishia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…