The Conscious
JF-Expert Member
- Mar 18, 2021
- 740
- 1,218
Mobutu alifadhili wachawi 100 kwenda na timu kuhakikisha wanabeba kombe! Walipigwa kama ngoma!Uchawi ungekuwa unacheza basi zaire angebeba world cup mwaka 1974
Ya kiafrika asili yetu.. Unajua elimu ya mzungu imetufanya tuone vyetu havina maana.. Slave minded!Walikuwa wanatambikia mizimu ya wapi?
Huwezi kutambika mbali na mizimu yako ilìpo. Ndio maana kama wewe ni Mpare, huwezi kwenda Lindi kutambika. Tambiko linafanyika pale ilipo mizimu yako.Ya kiafrika asili yetu.. Unajua elimu ya mzungu imetufanya tuone vyetu havina maana.. Slave minded!
Sent using Jamii Forums mobile app
Dini zimeharibu sana tamaduni zetuYa kiafrika asili yetu.. Unajua elimu ya mzungu imetufanya tuone vyetu havina maana.. Slave minded!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mizimu na matambiko ya kifamilia, kikabila kikanda na kitaifaHuwezi kutambika mbali na mizimu yako ilìpo. Ndio maana kama wewe ni Mpare, huwezi kwenda Lindi kutambika. Tambiko linafanyika pale ilipo mizimu yako.
Mshana Jr mimi ni mzee wa mila na kuhani wa ukoo wangu, na NTEMI wa kabila langu. Ninachokuambia ninakijua fika. Hamna kutambika sehemu ambayo huna mamlaka napo.Kuna mizimu na matambiko ya kifamilia, kikabila kikanda na kitaifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna nchi gani inaishinda Congo kwa uchawi?Bhaya mambo ni yakufanyika kwa simba na yanga sio timu zisizo jiweza😂😂😂 mnamlipa mganga aftatu mnatarajia nn lazima mpigwe tatu
Huyo pakaView attachment 2801208View attachment 2801209View attachment 2801211
Imekuwa kawaida sana wana Kigoma Region Tanzania kujivunia uchawi na ujinga wa aina hiyo ambao hata Mshana Jr aliamua aachane nao.
Mashujaa ya Kigoma jana walifanya vitendo vya urozi hadharani kwa kumchinja kikatili mnyama.
Mungu si Arhumani wala @Wilfed Kidao, wana Kigoma Region Tanzania wakakutana na kipigo kizito kutoka kwa watoto wa tajiri.
Mkiendekeza uchawi, mtapigwa kila mechi mpotee kabisa kwenye ramani ya soka kama walivyopotea RTC KIGOMA & RELI KIGOMA
SijuiKuna nchi gani inaishinda Congo kwa uchawi?
Paka ni mnyama, sio ndegeHuyo paka
Basi pale ndio pana chuo kikuu cha ulozi, Mshana Jr na Kigoma Region Tanzania hili wanalijua. Ni balaa. Afrika nzima hamna chuo kama hicho.Sijui
Walipigwa hadi baaaaàsssssiìiUchawi ungekuwa unacheza basi zaire angebeba world cup mwaka 1974
Huyo ni kunguru au???Paka ni mnyama, sio ndege
Uchawi si unazidianaNa wamefungwa