poa anza wewe uwemfano kwa wengineNoma sana, vijana wameamka, Tz tunakwama wapi? Yaani tunashindwa kufight hata kupitia mtandaoni, ni huzuni!
Hao wanaofanya hivyo ni wa chama gani?Makamanda wa ufipa wao wanaweza kutumia vidole lakini linapokuja suala la maandamano wote wapo kwenye foleni za hospitall ni wagonjwa!
Kauli za mtu muoga utazijua tu!We unaweza? Au ccm haviwahusu?
Chama makamanda wapinga dhuluma!Hao wanaofanya hivyo ni wa chama gani?
Hawana chama chochote, ni vijana kenya wenye uelewa na linalotaka kupitishwa , hamna chama hapo bali wananchi wenye uchungu na nchi yaoChama makamanda wapinga dhuluma!
Maandamano ya Kenya hayahusu wapinzani wala wana siasa, hata Kule Sudani walio anzisha maandamano ya kumudoa ali Bashili sio wapinzani. Upinzani ni Ideology mjinga wewe, Upinzani sio Chama. CCM itang'oleaa na Raia aa kawaida walio choka na usanii na hadaaa za watawalaMakamanda wa ufipa wao wanaweza kutumia vidole lakini linapokuja suala la maandamano wote wapo kwenye foleni za hospitall ni wagonjwa!
Alaa hakuna wanasiasa sasa makamanda kwanini wasifanye hayo!Hawana chama chochote, ni vijana kenya wenye uelewa na linalotaka kupitishwa , hamna chama hapo bali wananchi wenye uchungu na nchi yao
Kunywa maji utulie mpuuzi wewe!Maandamano ya Kenya hayahusu wapinzani wala wana siasa, hata Kule Sudani walio anzisha maandamano ya kumudoa ali Bashili sio wapinzani. Upinzani ni Ideology mjinga wewe, Upinzani sio Chama. CCM itang'oleaa na Raia aa kawaida walio choka na usanii na hadaaa za watawala
Mtawala au uoga!Watu wakiogopa kusema maumivu yao tatizo ni mtawala. CCM hatupaswi kufurahia hilo.
Kunguru anaishi miaka mia!Kuiba Kiswa ni ujinga sisi CHADEMA hatuwezi kufanya hivyo
Kauli za mtu muoga utazijua tu!