Yanayojiri Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu, na Mkutano wa Hadhara Temeke Leo Jumatano 25/1/2023

Mimi nimemiss kale kalafudhi kake jamaniiii. Kananikumbusha nyumbaniii
 
Asante sana Journ Molemo
 
Keshahakikishiwa ulinzi?

Kwani hukuona Mbowe alivyolindwa kule Mwanza tokea airport mpaka Furahisha? Angalia pale Gold Crest hotel, walipofikia viongozi wa CHADEMA, ulinzi wa polisi ulivyokuwa umeimarika.

Hata leo ulinzi utakuwa thabiti toka kutua kwake. Unafikiri utawala wa Samia utakuwa tayari kupata aibu ya Lisu kudhuriwa?
 
Amen
 
Kwa hiyo analindwa hadi nyumbani kwake na polisi wa selikali? Ndio alivyohakikishiwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…