Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,887
- 7,673
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kishasema hagombeiSamia zuia hii mikutano. Ukijumlisha na hasira za ugumu wa maisha, utaondoshwa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ImeshindikanaWametoa mkeka wa Madc usiku ili kuzima ujio wa Tundu Lisu
Samia alishasema siku nyingi aje tanzania iko salama na yeye atakuwa salama kama ilivyo kwa kila mtu.Hatujui amehakikishiwa kwa namna gani lakini nina uhakika Serikali ya Rais Samia itahakikisha anakuwa salama wakati wote.
Chato International Airport, bado anasubiria hukoYule jamaaa anajiita countywide alileta Uzi kuwa hakuna watu,yeye alienda airport gani?
Sasa hivi utaanza kusikia anasifia Kibaha , niulize kwanini ?Yule jamaaa anajiita countywide alileta Uzi kuwa hakuna watu,yeye alienda airport gani?
Up dates
Welekeo Viwanja vya Bulyaga Temeke jijini Dar es Salaam, Tanzania
Kama hukuweza kumua kipindi kile shetani Magufuli yupo sasa hivi bila hata ulinzi hamuwezi.Keshahakikishiwa ulinzi?
Tundu Lisu ana vyeti siyo Wewe hadi leo CPA unaisikia tu kwa Catherine Ruge!Nitafurahi ukimdodosa Magufuli, usiache
Unamkumbuka Viwanja vya Furahisha Mwanza!Nasubiri muungurumo wa Tundu Lissu kutoka hapo viwanjani.