Yanayojiri Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu, na Mkutano wa Hadhara Temeke Leo Jumatano 25/1/2023

Yanayojiri Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu, na Mkutano wa Hadhara Temeke Leo Jumatano 25/1/2023

Karibu Nyumbani Lissu.

MUNGU alikuwa na makusudi yake kuendelea kukuacha Hai, pengine anataka utusaidie kutunga Katiba mpya itakayokuwa mkombozi kwa vizazi vijavyo.
Tutarajie kusikia Lissu akiteuliwa na Rais kuwa Mbunge. Ili akalichangamshe Bunge kwa Nondo za Kisheria

Pia mama Samia ataweka Historia ya kuwasaidia Wazanzibari kupata Muungano unaoendana na mazingira ya sasa.

Nawatakia Mema sana.
 
Karibu Nyumbani Lissu.

MUNGU alikuwa na makusudi yake kuendelea kukuacha Hai, pengine anataka utusaidie kutunga Katiba mpya itakayokuwa mkombozi kwa vizazi vijavyo.

Pia mama Samia ataweka Historia ya kuwasaidia Wazanzibari kuwa Huru na kupata Muungano unaoendana na mazingira ya sasa.
Nawatakia Mema sana.
Na kwa hili Mungu wa Israel na atende matendo makuu. Amina
 
Miongoni mwa watu niliotegemea kuwaona Uwanjani ni pamoja na Zitto Kabwe na wale wabunge 19 wa Viti maalumu.

Halima Mdee na wenzake wako bungeni kwa sababu ya kampeni kubwa aliyofanya Lisu kwenye Uchaguzi mkuu wa 2020.

Kadhalika Tundu Lisu alimpigia kampeni Zitto Kabwe pale Ujiji licha ya Chadema kuwa na mgombea.

Yaani binadamu Usoni kama Watu!
 
Mbona wamesema nchi zima iko uwanja wa ndege kumpokea Lissu kumbe uongo
 
Utasikia..
1. Hamisha walimu wote wa hiyo shule, unaruhusuje watoto wakae barabarani.

2. Rpc kanda maalum, natoa onyo kwa chadema kuruhusu watoto wa shule kwenye maandamano.

3. Msemaji aka mwenezi ; naishauri serikali itazame upya suala la mikutano ya hadhara, inaharibu rtb za watoto wetu kujisomea.
 
Back
Top Bottom