Yanayojiri Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu, na Mkutano wa Hadhara Temeke Leo Jumatano 25/1/2023

Hatujui amehakikishiwa kwa namna gani lakini nina uhakika Serikali ya Rais Samia itahakikisha anakuwa salama wakati wote.
Samia alishasema siku nyingi aje tanzania iko salama na yeye atakuwa salama kama ilivyo kwa kila mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…