Yanayojiri miaka 51 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar 26/4/2015

dah...nnawaza kwa sauti tu sijui hata lile pilau ikulu sijui litawahusu.. Hawa wazanzibar wanaocheza mdundiko au ndo uji unatamalaki baada ya kurukaruka mbele ya wafalme ndago.
 

Kauli mbiu si rafiki, inalazimisha wananchi kupiga kura ya ndiyo katiba pendekezwa. Naangalia kupitia AZAM TV, Picha ni clear kuliko TBC.CM!
 
Hizi kampeni za ndio na hapana zimeanza lini kufanyika kwenye sherehe za kitaifa?Huu ni wehu sio kawaida
 
Kauli mbiu inahusisha kuipigia kura ya Ndiyo katiba pendekezwa…!!! JK yuko pale anasikia, je muda wa kampeni kwaajili ya katiba umefika?
 
Kwa nini JK anapenda sana kucheka?

Na kwanini asipende kucheka wakati katika dunia hii anaishi kama vile yuko peponi!!!

Njaa, kiu na dhiki za maisha kwake ni hadithi za watu wakale.

Hata mimi mungu angalinipa nafasi ya maisha kama aliyonayo yeye basi na mimi ningalicheka hata kumzidi yeye.
 
ila kuna udhaifu mkubwa sna kwa upande wa ulinzi wa rais yani kwa professional assassinator/sniper hapati shida sana ya kutekeleza jukumu lake na kumtungua rais!!
 
kuna mibaba ilivaa misuri eti inacheza mbele ya wanaume wenzao waliopiga suit matata.inakeraaaa
 
hapo kuna unafiki mkubwa sana...watawataja wauza watumwa akina sheikh M Mkwawa,sheikh Kinje na Abushiri jinsi walivyo wapiga wamisionary walioingilia biashara yao ya utumwa.

ubongo wako umeoza that's why unafikiri kwa kutumia funza waliomo kichwani mwako
 
Ni jambo la kushangaza sana kuwa mtawala wa Zanzibar kapoteza na haithamini ID yake hivyo RAIA zake leo wanajitambua kwa jina jipya LA Tanzania bara!!! Lakini mtawaliwa pamoja na kutawaliwa bado yuko na ID yake ya asili na hakuna ambae atathubutu kumnyang'anya hadi mwisho wa dunia hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…