Yanayojiri miaka 51 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar 26/4/2015

Baba sisi huku kwetu tunafanya chochote wakubwa wanakifanya.

Kazi yetu kukopi tuuuuuuu lakin mtemi milambo, Isike, Mangi walikuwa na walinzi lakin hawakujuwa kama ipo miwani myeusi - FBI & CIA Effect
 
Hii nchi huwezi kuishiwa maswali km hujaingia kwny mfumo ila ukishaingia na kuchukua chako haya unaona ya kawaida tu maana hata wanaoyafanya sasa walikuwa wanakereka km ww ila sasa wako kimya ndani ya #Bongolala
 

Hapo ndo utajua kuwa hayo ni mapambo ya mitandaoni tu, huwezi iweka somalia,DRC,S.sudan na tanzania upuzi tu
 
kwani na wewe umekatazwa kulowea Zanzibar acha ubazazi hujui kuwa kaminsha wa kwanza wa Zanzibar kabla ya muungano alikuwa mchaga bwana Kisasai
 
pesa inaungua kila mwaka madawati hakuna, maabara hakna vifaa tiba hakuna, CCM inacheka tu, JK anacheka, Pinda anacheka tu, kwa vile wanatibiwa ulaya, wanasomesha ulaya na wanakwiba ESCROW hawatajwi
 
Ni ujinga tu.Wanatumia hela nyingi katika shughuli kama hizo wakati shule zinafungwa kwa wanafunzi kukosa chakula!

Viongozi wa leo ni shida.
 
Kidogo apate sugar na energizer zingine si unajua alivyo na record ya kuanguka hadharani...sasa sijui sirini ni mara ngapi?

Tuna Viongozi wagonjwa hahahaha! Labda tusubiri Amiri jeshi Ajaye
 
Akili zenu zimejaa maji tuu, hivi unataka serikali iseme upigie kura ya hapana? Hiyo serikali itakuwa ya ajabu sana. Maana itakuwa na hela za kuchezea,

Na hatuna muda mchafu wa kusubiri kupata maelekezo ya nini cha kufanya kutoka serikali dhaifu
 
Kwa mshangao mkubwa niko hapa uwanjani lakini hadi sasa sijamuona Edward Lowasa wa Richmond . Mzee yule ni mpenzi wa halaiki lakini leo nashangaa sijamuona . Mwenye taaraifa tafadhali au atakuja baadaye ?
Msaada jamani toka kwa team Lowasa

Rais wa awamu ya 5 mh E. N. L yuko Dubai
 
Kweli Bw. MOTOCHINI kule jukwaa la 'buku buku" mbali, pole kwa kuwa mbali na wala keki ya taifa

Powa mkuu nishatembea saiz nipo rang3 tunapata mambokidogo ya siasa na matukio yanavyo kwenda
 
Last edited by a moderator:

Kwa Ufafanuzi Wako Huu Uliotukuka Hakika Nimeshiba Kama Siyo Kutosheka Na Nasema Akhsante Kwako Na Shikamoo Pia Mkuu Afande.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…