Uchaguzi 2020 Yanayojiri Mkutano wa Tundu Lissu jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro

Uchaguzi 2020 Yanayojiri Mkutano wa Tundu Lissu jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro

dikteta2020

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2018
Posts
595
Reaction score
3,991
Muda huu Tundu Lissu yupo Siha mkoani Kilimanjaro moja ya majimbo sugu yanayotawaliwa na CCM mkoani humo.

Hili ndilo jimbo la Agrey Mwanri sambamba na Godwin Molel ambaye alikatwa CCM mwaka 2015 kisha Chadema wakamchukua na akanyakua jimbo hilo kabla ya kuunga mkono juhudi na kurudi CCM alikotokea.

Elitwege, JPM alidhani maflyover, mareli, ma-ndege ndio vitu vya kuombea kura. Kwa dunia ya leo hivyo vitu sio vya kutishia watu; hata watoto wanaviona kila siku kwenye Tv,simu,games nk.

Watu wanataka furaha, amani, haki, heshima, shibe - kuishi bila hofu... wameyakosa haya kwa miaka mi5.
 
Karatu mliweka picha za kutosha,huku kili mnatumwagia video bila picha aiseee
 
JPM alidhani maflyover, mareli, ma-ndege ndio vitu vya kuombea kura. Kwa dunia ya leo hivyo vitu sio vya kutishia watu; hata watoto wanaviona kila siku kwenye Tv,simu,games nk
Watu wanataka furaha, amani, haki, heshima, shibe - kuishi bila hofu... wameyakosa haya kwa miaka mi5.
Hivyo vitu vipo Ethiopian kuliko kwetu, Ethiopian ina midege, ina treni za uneme, ina mafly over makao makuu ya Au yapo Adis Ababa lakini nchi hiyo ndii inaongoza kwa raia wake kukimbia maisha magumu nyumbani kwao.

Kula siku Tanzania wanakamatwa Waethiopia wanaopita transit kwenda kutafuta maisha South Africa.

Hata Marekani nchi ya Africa yenye wahamiaji wengi Marekani ni Ethiopia, na hivi vitu vingekuwa navmaana katika maisha ya watu Makaburu mpaka leo wangeendelea kutawala South Africa maana wameijenga ile nchi kuluko nchi nyingi za Ulaya hawaifikii South Africa kimaendeleo.
 
Nikiwa rais sitaingilia faragha!!!View attachment 1585652
Muone huyu
FB_IMG_1601425432271.jpg
 
JPM alidhani maflyover, mareli, ma-ndege ndio vitu vya kuombea kura. Kwa dunia ya leo hivyo vitu sio vya kutishia watu; hata watoto wanaviona kila siku kwenye Tv,simu,games nk
Watu wanataka furaha, amani, haki, heshima, shibe - kuishi bila hofu... wameyakosa haya kwa miaka mi5.
Leo nimemsikia huko Mbeya sasa anawambia ... Nilimchagua msomi Tulia kuwa Mbunge. Sijui Tulia ndiyo maendeleo ya watu wa Mbeya!!
 
kazi mnayoweza ni kutunga upuuzi kama huu,hayo ndo yaliyobaki na mnayoyaweza,hamwezi hoja nzito ila vitu vya kufunga, yani akili zenu CCM na kunguni tofauti ni miili ila akili zinafanana
wewe ndiyo mpuuzi sasa mtu ana sema mwenyewe akiwa rais ushoga anaruhusu wewe unabisha
 
Back
Top Bottom