Uchaguzi 2020 Yanayojiri Mkutano wa Tundu Lissu jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro

Uchaguzi 2020 Yanayojiri Mkutano wa Tundu Lissu jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro

wewe ndiyo mpuuzi sasa mtu ana sema mwenyewe akiwa rais ushoga anaruhusu wewe unabisha
Wee ndo jinga kabisa lissu kasema futeni kwanza kipengele hicho cha katiba yenu mliotunga ccm Kama kwel mnapinga ushoga mbona hamtaki kufuta Sasa wapuuzi nyie
 
Yani Jiwe angetakiwa aelewe tu kuwa wananchi sasa hata awa-promise nini, hawamuelewi chochote. Wananchi wanataka wapewe Lissu tu.

Amelikoroga mwenyewe kujidai mbabe, mnyanyasaji, mwenye nchi (wakati ni mtumishi wa Watanzania), mtesi..
 
Elitwege, JPM alidhani maflyover, mareli, ma-ndege ndio vitu vya kuombea kura. Kwa dunia ya leo hivyo vitu sio vya kutishia watu; hata watoto wanaviona kila siku kwenye Tv,simu,games nk.

Watu wanataka furaha, amani, haki, heshima, shibe - kuishi bila hofu... wameyakosa haya kwa miaka mi5.
Definitely
 
Subirini atakavyo waponda kwenye box la kura tarehe 28/10, wali wa kujaa huonekana kwenye sahani.

Katika siasa mwenzenu nina bahati ya Encyclopedia ya siasa ambayo nikiisoma tuu, inaniwezesha kujua hali ya wakati husika haraka sana.

CCM itashinda in a very fair contest na siku zote anasema, kuna maeneo kama Dar es salaam, Mwanza, Mbeya, Tabora, Morogoro,Kilimanjaro na sasa Geita huwa ina provide barometer of what to expect. Mikoa hii kwa ujumla wake ina zaidi ya 59% ya wapiga kura wote.

Na husema siku upinzani ukichukua mikoa hiyo yote basi CCM imeanguka. Dar es salaam na mikoa yote iliyotajwa hapo juu upinzani unapoteza. Kilichobaki ni ushabiki tuu kwa upinzani.
 
Elitwege, JPM alidhani maflyover, mareli, ma-ndege ndio vitu vya kuombea kura. Kwa dunia ya leo hivyo vitu sio vya kutishia watu; hata watoto wanaviona kila siku kwenye Tv,simu,games nk.

Watu wanataka furaha, amani, haki, heshima, shibe - kuishi bila hofu... wameyakosa haya kwa miaka mi5.
Ethiopia Addis Ababa kuna maflyovers hatuna mfano wake.

Kama ndege hata baadhi ya nchi za ulaya hawana.

Mradi wa umeme megawatts karibu 9000 wakati sisi tunajenga megawatts 2000

Standard gauge ndio mradi mkubwa Afrika

Lakini raia ni masikini kila siku wanakamatwa kwenye malori wakikimbilia Afrika Kusini

Magufuli ndio kaona ni karata ya ushindi
 
Lissu anatimiza matakwa ya katiba kugombea Urais lakini hawezi kuwa Rais hata siku moja.

Ndiyo muda wote anaongea kama mtu aliyekata tamaa mara amstard international mara the hegue yaani upuuzi mtupu.
 
Hivyo vijimbo vidogo vidogo vya kilimanjaro havina athari yoyote kwenye uchaguzi. Ni JPM tu hadi 2025
 
Back
Top Bottom