Usifananishe ethiopia na tanzania, wa ethiopia wengi wanakimbia kwasababu ya uchumi,
wengi wao wanategema ajira kwenye sector ya kilimo shida inakuja sasa kwenye umiliki wa ardhi,viongozi wanamiliki maeneo makubwa ya ardhi ambayo masikini hawana uwezo na mamlaka nayo .
Sehemu nyingine ni uduni wa rutuba wa hiyo ardhi mwisho wake inawaletezea kukosa ajira kwenye sector hiyo na kuwafanya watafute unafuu.
pia wa ethiopia wengi ni wavivu wanapenda kazi legelge.
Tofauti na huku kwetu ardhi unapata mpaka laki kwa heka ardhi nzuri kwa kilimo ,sera nzuri kwa wakulima utakimbia kwenda ulaya ili iweje?
Serikali ya JPM kama mnavoona inajenga barabara zilizo bora mpaka vijijini ili tu mkulima naye ale mema ya nchi kwenye hili ethiopia usitulinganishe nayo kabisa.
..tatizo la Waethiopia ni kuzaana kupita kiasi.
..Ethiopia hawana resources za kutosha kwa mfano ardhi, na uchumi wao hautengenezi ajira za kutosha kwa ajili ya waliokosa ardhi.
cc Chige