Uchaguzi 2020 Yanayojiri Mkutano wa Tundu Lissu jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro

Wewe na wewe unajiona binadamu mwenye akili?
 
Karatu mliweka picha za kutosha,huku kili mnatumwagia video bila picha aiseee
Unataka kuwe na mfanano ili mpate cha kusema huku watu wanapenda live coverage kuliko still picture yaani live bila chenga kuwa mvumilivu waliopiga picha watakurushia😂😂😂
 
Hamkosagi visingizio mkuu
Unataka kuwe na mfanano ili mpate cha kusema huku watu wanapenda live coverage kuliko still picture yaani live bila chenga kuwa mvumilivu waliopiga picha watakurushia😂😂😂
 
subiri huo ushahidi wa video naona hata kusikiliza hotuba za shoga yako husikilizagi ameshasema haingilii faragha ya mtu hata iwe ya jinsia moja halafu wewe unataka video yaani wenaona unaakili za kuvukia barabara tu
ni katiba ndo imesema serikali isiingilie faragha za watu ,na amesema serikali ikitaka kuingilia basi isivunje katiba ibadili hicho kipengele ,ulichoelewa ni nini we kunguni kweli
 
Usifananishe ethiopia na tanzania, wa ethiopia wengi wanakimbia kwasababu ya uchumi,

wengi wao wanategema ajira kwenye sector ya kilimo shida inakuja sasa kwenye umiliki wa ardhi,viongozi wanamiliki maeneo makubwa ya ardhi ambayo masikini hawana uwezo na mamlaka nayo .

Sehemu nyingine ni uduni wa rutuba wa hiyo ardhi mwisho wake inawaletezea kukosa ajira kwenye sector hiyo na kuwafanya watafute unafuu.
pia wa ethiopia wengi ni wavivu wanapenda kazi legelge.

Tofauti na huku kwetu ardhi unapata mpaka laki kwa heka ardhi nzuri kwa kilimo ,sera nzuri kwa wakulima utakimbia kwenda ulaya ili iweje?
Serikali ya JPM kama mnavoona inajenga barabara zilizo bora mpaka vijijini ili tu mkulima naye ale mema ya nchi kwenye hili ethiopia usitulinganishe nayo kabisa.
 
Utadhani aliona kwanza mchakamchaka wa Lissu ndipo akaja kutunga wimbo,kumbe alianza kutunga kwanza wimbo,na mchakamchaka ukaja baadae.
Hii inaitwa "time Traveller"
Aliyepiga wimbo wa Tundu Lissu Wapeleke mchakamchaka aliwaza mbali sana aisee
Aliyepiga wimbo wa Tundu Lissu Wapeleke mchakamchaka aliwaza mbali sana aisee
 
Subirini kipigo takatifu kutoka kwa Mshamba, mtanitaarifu siku akiapishwa.
Jimbo la Siha ni overflow incontinence policaly ya Wamachame.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…