Uchaguzi 2020 Yanayojiri Mkutano wa Tundu Lissu jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro


..tatizo la Waethiopia ni kuzaana kupita kiasi.

..Ethiopia hawana resources za kutosha kwa mfano ardhi, na uchumi wao hautengenezi ajira za kutosha kwa ajili ya waliokosa ardhi.

cc Chige
 
2015 alikuja lowasa hapa siha hajafua dafu la lisu
 
Lissu, the great.. Mungu ambariki sana Tundu Lissu. Ujio wake una maana sana kwa wananchi wa Tanzania.
 
Mapenzi ya kinyume na maumbile apa Tanzania hatupo tayari.
 
Rais wetu kipenzi. Kilichobaki ni aapishwe tu jamani. Hakuna zaidi ya Tundu Lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…