Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Uchaguzi mkuu unatakiwa kura huru na haki kwa kiwango hiki
Shida inakuwa mawakala wanawekewa mizengwe...
Mara huna kiapo...mara hatukujui ...
Mara subiri ...mpaka kura feki zinaingizwa na kujazwa...
Nina uzoefu wa chaguzi za Tz...
 
Ewaaaaaaaaaaaaaa. Leo sijui kama nitafanya kazi kwa raha nilizonazo. Mimi nampongeza zaidi Mbowe kuliko Lissu
Ulidhani Mbowe angesemaje?
Lazima aongee hivyo kujisafisha lakini angekataa kugombea ttokea mwanzo angefaa kupongezwa.

Sasa ni wakati wake wa kuungana na Ccm kumuwekea vikwazo Lissu
 
Ikiwa Mungu amempaka mafuta Lissu awe Mwenyekiti, ni nani wewe mbwa uzuiaye?

Stupid.
 
Hapiti mwanenu

Eti anajiona Jenerali

Jenerali gani anakimbia midahalo

Kama Jenerali unakimbua mdahalo utaziweza risasi?

Hatufai
cocochanel umeiona hii risiti?

Sasa siku nyingine mjifunze kutodharau maoni ya wananchi.

Siku nyingine mjifunze kutodharau polls za mitandaoni kwa hoja za kuwa hao si wapiga kura.
 
Chama tawala wasifanye mambo kwa mazoea?... Fafanua.
Majira ya Musa hayakuwa na issue nyingi za vita katika kudai haki yao kwa wana wa Israel ila Aliposhika kijiti Yoshua mambo yalibadilika.


Tegemea kuona mambo usiyoyazoea Tanzania.. Roho ya kiongozi hubadili mtazamo wa wafuasi wake.

Lissu katika ulimwengu wa roho nyota yake inanguvu ya ushwishi wa kina soul to soul connection na which is very harmful kama atakuwa na ajenda za kusukuma mambo kwa vurugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…