Ngarob
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 661
- 2,204
Shida inakuwa mawakala wanawekewa mizengwe...Uchaguzi mkuu unatakiwa kura huru na haki kwa kiwango hiki
Mara huna kiapo...mara hatukujui ...
Mara subiri ...mpaka kura feki zinaingizwa na kujazwa...
Nina uzoefu wa chaguzi za Tz...