Pambalu yupo atafanya hiyo kazi.Sasa kama Chadema wana akili au wanahitaji kushinda Oktoba wanatakiwa waanze kuwavuta wafuasi wa Magufuli upande wao kwa kuacha kabisa kumuongelea vibaya na waanze kujitangaza kwa sera zake ambazo zilifanya mpaka leo wananchi huwambii kitu kwake.
Naelewa inahitajika a giant compromise lakini binafsi naona hiyo ndo njia pekee ya kuwafikisha nchi ya ahadi.
Mimi binafsi ni die hard fan wa Magufulism, niliwahi kuwapenda sana Chadema ila niliwachukia sana baada ya uhuni waliotufanyia July 2015.
Ila kwa ajili ya walalahoi wa nchi hii wasiokua na wa kuwasemea especially kwa sasa, mtu timamu hawezi kufurahi akiona Chadema inapotea na kwa hili wengi tulihitaji ashinde Lissu walau yeye na team yake wana nafuu kubwa sana ukiwalinganisha na mzee wa 'maridhiano'!!
Waki compromise kwa Magufuli, wananchi pia nikiwemo mimi tuta compromise kwao na kuwachagua, wakizingua hapo, watu hawataona tofauti yao na watawala na hivyo hawataona sababu ya kupiga kura, wakipiga p ama zitaibiwa na hakutakua na mtu atakubali kuingia barabarani kutetea ushindi wao.
Uamuzi ni wao
Mara Paaaa former chair anahamia sisiemu
Na amzungushie ulinzi wa Malaika...Mungu tunaomba uitendee Tanzania kama ulivoitendea marekaniMungu akutie nguvu Lissu.
Nakufahamu wewe una umbo zuri. Karibu tusherehekee ushindi.Usiseme hivyoπ mimi mwenyewe ni tukunyema
Sisi wafuasi wake alufa na omega tumeumia sana kwa kweli ππππ€ΈπΏββοΈπ€ΈπΏββοΈπ€ΈπΏββοΈTeam TAL wa toka mwanzo, tukamuamini, tukamuombea na tukajua atashinda tujuane. Nina furaha sana. Huwa nachagua vitu vya maana na vizuri. Nilikuwa naweka hashtags za:
#twendenaLissu
#Lissuanatosha
Hatimaye yametimia.
Huyu Baba namuombea, atakuja kuwa Raisi wa hii nchi, ataitendea haki, tutakuwa na Tanzania tunayoitaka. Hutaki kameze tikiti, Lissu tunaye na tunatamba naye. Sasa nikachukue kadi ya Chadema. π€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈπ€ΈββοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈβοΈ
ChaiNakufahamu wewe una umbo zuri.
Mimi nimerudi kulala na hili baridi poleni mnaoenda kaziniKaribu tusherehekee ushindi.
Amen, Mungu akiamua liwe linakuwa. Hata wawe wanaogopekaje, wawe na fedha kiasi gani, madaraka na ulinzi wa aina gani. Mungu Baba akitaka liwe, hakuna wa kulizuia. Watapambana ila Lissu atashinda.Na amzungushie ulinzi wa Malaika...Mungu tunaomba uitendee Tanzania kama ulivoitendea marekani
KweliChai
Wacha weeee πMashabiki wake hawawezi kukuelewa leo, ila muda ni mwalimu mzuri.
Amini mkuu lisu ni mpango wa Mungu kwa tzHuku mtaani, amsha amsha zishaanza..pikipiki zinapita kwa kushangilia ushindi wa mh Lissu....
π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
Hahhaa mashabiki gani mkuu? Si tulikubaliana kwamba clubhouse na Twitter hakuna wapiga kura ila akaunti feki tu? Sasa katoa wapi washabiki?Mashabiki wake hawawezi kukuelewa leo, ila muda ni mwalimu mzuri.
Mungu azikimbuke damu za watu zilizomwagwa bila hatia Na damu za watoto waliopotea aitendee Haki TanzaniaMungu anampenda Lissu.
Haswaaa!!Kaipoteza heshima huyo zee, alitakiwa kuachika kiti hichoo.. sio Hadi kwenye sanduku la kula