Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Ili wafae lazima wapambane kutuaminisha wanafaa

Kama nyerere na kina Mandela walivyofanya

Sio kulialia kama watoto wadogo
Unaniangusha tena Mama D migogoro hata CCM ipo, kunapokuwa na mabadiliko hayo hayaepukiki, mimi sina chama chochote ila kuna muda natamani upinzani waongoze nchi tuone uwezo wao pia, narudia tena hili linawezekana wananchi wakiachwa waamue kama demokrasia inavyotaka.

Mbona CCM wakulialia wapo wengine mpaka machozi hayatoki sasa hivi yamekauka, hayo mambo hayana mbabe na unalijua hili, maana usipolia mbele za watu utalia chumbani alone 😁

Mama D 🎀
 
-Matawi ya chama yatastawi
-Fedha zitafika matawini
-mabaraza yatapata migawo yao kwa wakati
-Matawi mapya zaidi yatafunguliwa
-Uhakiki wa wanachama hai wa chadema
-kuongeza wanachama zaidi
##CHADEMA WABAKI KAMA WAKOSOAJI TU, BADO SANA KUWEZA KUPEWA NCHI HII ##
 
Mama Buduli (Mama Abdul in Sukuma) ana kazi kweli kweli. Ikizingatiwa ana mgombea mwenza domo zege. Sina mbavu mie! πŸ€£πŸ˜‚
 
Ongella ndugu Lisu kwa Ushindi wa haki yawezekana kuna kitu wanachi wanakudai na ujawalipa ndio mana mungu anatuonesha maaajabu mengi kukuusu maisha yako kwendea kwa wananchi kuna sili imejificha mungu akuongoze zaid na akupe busala zaid, Ongella sana mzee mbowe umetisha ktk kuifadhi muonekano wa upinzani nchini naamin ungeweza kutumia mbinu zaid ungeshinda lkn ukawaza zaid Atma ya upinzani imagin yake itakuwaje Ongella umeacha upinzani ubaki na heshima yake kwagalama za kukubali kuaibika wewe binafsi,,, asante mzee mbowe
 
Unaumia ukiwa wapi mda huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…