shuka chini
JF-Expert Member
- Feb 27, 2024
- 842
- 1,928
Siasa unazijua babe?Lissu anafika bei!
Sasa hivi anakaza ili atimize hadhma ya kua mwenyekiti.
Muda utaongea
KidogoSiasa unazijua babe?
Unasema Lissu anafika bei je zile hela za Abdul sebuleni kwake mbona alizikataa?Kidogo
As long as you are a politician…. UNA BEISiasa unazijua babe?
Narudia tena! Amekaza ili afikie nia yake ya kua MwenyekitiUnasema Lissu anafika bei je zile hela za Abdul sebuleni kwake mbona alizikataa?
Lisu is 90% activistAs long as you are a politician…. UNA BEI
NI WANAHARAKATI TU NDIO HAWANA BEI
LOBBYIST NDIO KABISAAAAA WANAUZA
Akishafikia uenyekiti hebu niambie unaona nini sasa ataenda fanya? Ndio watamuongezea dau au?Narudia tena! Amekaza ili afikie nia yake ya kua Mwenyekiti
Muda utaongea.
Nimechoka kuandikaAkishafikia uenyekiti hebu niambie unaona nini sasa ataenda fanya? Ndio watamuongezea dau au?
Hivi unajua sababu ya Mbowe kuwekewa huo mzigo? Nikusaidie,Mbowe kawekewa huo mzigo ili kumdhibiti Lissu asiwe mwenyekiti wala mgombea Urais, sasa hapo Lissu apewe hela ili iweje? It's just a simple logic.Lissu anafika bei!
Sasa hivi anakaza ili atimize hadhma ya kua mwenyekiti.
Muda utaongea
Mbowe kaanza kupewa pesa na Ccm kitamboHivi unajua sababu ya Mbowe kuwekewa huo mzigo? Nikusaidie,Mbowe kawekewa huo mzigo ili kumdhibiti Lissu asiwe mwenyekiti wala mgombea Urais, sasa hapo Lissu apewe hela ili iweje? It's just a simple logic.
Ana stress sanaShikamoo wajumbe 😀😀,ila Mbowe kwenye kikao nadhani aliingia akiwa tungi
Pumzika subiri matokeoNimechoka kuandika
Lini na wapi? Hata hapa jukwaani maccm unaona wanamsapoti nani kati ya Mbowe na Lissu? Mbowe ni project ya Mwenyekiti wa CCM Rais Samia.Mbowe kaanza kupewa pesa na Ccm kitambo
Nyie wafuasi wake ndio mmechelewa kujua
Acha niwe mpole usije kunipa laana bureLini na wapi? Hata hapa jukwaani maccm unaona wanamsapoti nani kati ya Mbowe na Lissu? Mbowe ni project ya Mwenyekiti wa CCM Rais Samia.