Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Mbowe niko nyuma yako ushindi ni wako.
Kwa niaba ya FAM, napenda kukushukuru sana kwa udhati wa moyo wangu.

Naomba washawishi wajumbe ili wafanye jambo, maana awamu hii yangu ya mwisho tuna mpango wa kukijenga chama kuliko maelezo.

Piiiiipoooooz!
 
Unatumia king'amuzi gani mkuu?

Kama ni Azam TV tazama UTV wako LIVE, kila mara wanamuonesha LEMA hapa. Panazidi kuwa pamoto.
Natumia DStv Mkuu, ndio nilikuwa naitegemea Clouds wao wanachukua huko UTV wanatuonesha LIVE pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…