Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Mbowe hana matatizo kama ambavyo watu mnavyojaribu kulazimisha aonekane, the guy is very humble. Basi tu siasa ni upepo, ukilazimisha kupingana nao utapewa kila sifa chafu. Nilipenda asigombee, lakini pia sipendi anavyochafuliwa, si uungwana kabisaZitakuwa hujuma za mbowe kwa msaada wa ccm