2-1 pale AnfieldNaunga mkono hoja ndugu yangu
Matokeo saa ngapi???
Hapiti mwanenuYes o nili bonyeza tu against wengi
Ku busti kwani results inasaidia nini huko waliopo now?
Pole roho juu juu Lisa siasa 🤣🤣🤣
Na leo LISSU atamnyoosha kwelikweli 🤣🤣🤣Hapiti mwanenu
Eti anajiona Jenerali
Jenerali gani anakimbia midahalo
Kama Jenerali unakimbua mdahalo utaziweza risasi?
Hatufai
Milllard Ayo nime join saizi kwa hiyo namba zinatakiwa kuwa 5,001Takwimu Za Youtube Saa 6 na dk 32Usiku Huu
CHADEMA Media Watu 4000 Wako Live
The Chanzo Watu 2000 Wako Live
Global Tv Online Watu 3000 Wako Live
Milard Ayo Watu 5000 Wako Live
Jambo Tv Watu 10,000 Wako Live
Mwanzo Tv Twitter Watu 30,000 Wako Live
NCHI IMEGOMA KULALA LEO?
Atapewa kazi ya kushona magwanda ya Chama maana leo rasmi anastaafishwa uenyekitiKumbe mbowe ni designer maana kasema hata tshirts za cdm alidesign