Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
King'ang'a kwenye sera 0 kabisa, kazi ni kuongelea tu mchango wake😂😂🤣🤣🤣 utafanyia nini chama? Nimetoa damu na kamasi kukijenga chama .... woiii:BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:
 
Naangalia hapa game ya barcelona, mechi ikiisha wawe wametupa matokeo la sivyo nawafata hulo hukp watueleze shida nini.
 
Takwimu Za Youtube Saa 6 na dk 32Usiku Huu

CHADEMA Media Watu 4000 Wako Live

The Chanzo Watu 2000 Wako Live

Global Tv Online Watu 3000 Wako Live

Milard Ayo Watu 5000 Wako Live

Jambo Tv Watu 10,000 Wako Live

Mwanzo Tv Twitter Watu 30,000 Wako Live

NCHI IMEGOMA KULALA LEO?
 
Idadi ya wapiga Kura
Screenshot_20250122-003430.png
 
Hawa jamaa bado tu wanaimba taarabu.
Si waseme tu mshindi tuliyenaye huyu hapa.
Hakuna haja kutuletea maigizo na fyokofyoko eti demokarasia.
 
Takwimu Za Youtube Saa 6 na dk 32Usiku Huu

CHADEMA Media Watu 4000 Wako Live

The Chanzo Watu 2000 Wako Live

Global Tv Online Watu 3000 Wako Live

Milard Ayo Watu 5000 Wako Live

Jambo Tv Watu 10,000 Wako Live

Mwanzo Tv Twitter Watu 30,000 Wako Live

NCHI IMEGOMA KULALA LEO?
Milllard Ayo nime join saizi kwa hiyo namba zinatakiwa kuwa 5,001

Global Tv online buffering zimekuwa nyingine nyingi.
 
Back
Top Bottom