Huyo ndo anafaa kuwa ht makamu mwenyekitiHahahha ila huyu jamaa anachekesha umenikumbusha kwenye mdahalo.
Alisema aliwahi kushauri kwenye magroup kuwa maandamano lazima yawe na mikakati vinginevyo hayatakuwa maandamano ya amani bali ni matembezi ya amani.
Halafu lika propose hoja yake kuwa wanawake waende nyumbani kwa spika wa bunge wakiwa maziwa yako wazi.
Yani ni full vichekesho.
Amesema alienda kule kwenye issue za kichama mtu wa Zanzibar kamuuliza alienda lini na alifanya vikao lini.?Kisa Okello nini?
Mkuu upo maeneo gani saiv tukatafute mbususu tufanye kupoteza muda kunsubili lisuu apande jukwaaniMbowe akishinda, konyagi zitaadimika mitaani
Konyagi hoyeeeeeVP ndugu zangu mshindi kashatangazwa au bado
Hajawasalimia wajumbe?Mbowe anaomba tumuamini
Kwani anaenda kufanya kazi ambayo haijawahi kutokea katika nchi hii
Anataka kuondoa umasikini wa nchi hii
Halafu kahitimisha hotuba kwa ku bow kama Shaolin View attachment 3209412
Bado ndo kwanza Odero anaomba kura.VP ndugu zangu mshindi kashatangazwa au bado
Ndio nimeshtuka vipi huko nani kashindaHili jamaa linafurahisha sana
Odero anaongoza 2-0VP ndugu zangu mshindi kashatangazwa au bado
We nawewe huna kitu kipya? Umekuwa sasa kama Luka Mashamba unakera.
Nawa uso kabisa bado wagombea wanajinadi.Ndio nimeshtuka vipi huko nani kashinda