Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Hahahha ila huyu jamaa anachekesha umenikumbusha kwenye mdahalo.

Alisema aliwahi kushauri kwenye magroup kuwa maandamano lazima yawe na mikakati vinginevyo hayatakuwa maandamano ya amani bali ni matembezi ya amani.

Halafu lika propose hoja yake kuwa wanawake waende nyumbani kwa spika wa bunge wakiwa maziwa yako wazi.

Yani ni full vichekesho.
Huyo ndo anafaa kuwa ht makamu mwenyekiti
 
Swali: Tangia umeingia chadema umewahi kufanya shughuli gani ambayo sisi wanachama tunaweza kutambua

Majibu ya Oedro

Odero alikuwa mkufunzi wa wagombea kanda ya Serengeti

Odero alikuwa mtu wa kwanza kutoa mawazo yao

Niliwahi kuwa mwenyekiti wa wilaya kwasababu walisimamisha mgombea asiyejua kusoma wala kuandika.
 
Odero kwenye moja na mbili

 
Back
Top Bottom