Ni kama jamaa walidhamiria kumharibia ila Mungu aliyemtetea asiuawe, atamtetea na hapa.Wakuu,mbona kama Lissu amefanyiwa fujo za makusudi kwa kupigiwa makelele wakati anajiinadi na kujibu maswali?Je na Mbowe ilikuwa hivyo hivyo maana nimechelewa Mbowe sikumsikiliza..
Wenzetu walilala mchanaHuu mchakato unaisha saa kumi na moja alfajiri.
Mkuu, mimi siko nao ukumbini. Hata sijui wamekaa wapi hao waheshimiwa.Kwa hiyo upo na dalali Wenje au Heche mkuu
Walilala ukumbini?Wenzetu walilala mchana
Tusiwaige
Yerico NyerereHivi kuna mtanzania anaweza akawa na moyo mgumu kiasi cha kumkataa Lissu?
Mkuu, kwa nini unadhani hivyo?Tusipomchagua Lissu huenda laana ikawa juu ya Chadema daima.
Mbele ya kibunda tuneshuhudia watu wakifanya maamuzi magumuHivi kuna mtanzania anaweza akawa na moyo mgumu kiasi cha kumkataa Lissu?
Labda wamechukua kibunda ila kura watampa Lissu. Wasipompa kura Lissu ni laana kwa Chama.Mbele ya kibunda tuneshuhudia watu wakifanya maamuzi magumu
Nadhani walijiandaa kuwa zoezi lao litafika usiku wa manane hivyo cautions zilizchukuliwa mapemaWalilala ukumbini?
Kivyovyote itavyokuwa ila Lissu ni mshindi.Labda wamechukua kibunda ila kura watampa Lissu. Wasipompa kura Lissu ni laana kwa Chama.