Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Maana ya uwakilishi ni nini? Watu wachache wanafanya maamuzi kwa ajili ya wengi.

Hao wajumbe wangepewa ripoti ili kupeleka kwenye maeneo yao, huku taarifa ya msingi ya majumuisho ndiyo pekee ingesomwa kwenye mkutano. It's a matter of pros and cons.

Lazima uchaguzi kama huu upewe kipaumbele cha kwanza, vinginevyo utaishia kuharibika.

Zoezi la leo nalifananisha na mtu anayetenda jambo akitumia nguvu nyingi bila maarifa.

La sivyo, wangetenganisha mambo. Tarehe 21 mambo mengine yote, halafu 22 wajumbe wanaamkia zoezi moja tu la uchaguzi.

Hivi walivyofanya, kiafya inashaurika kweli? Mbona wanahatarisha afya za Watanzania? Halafu miongoni mwao wapo wazee kabisa, bila kuwataja wale wenye changamoto za kiafya.
 
" hao bado wachanga, hawawezi kitu " - @Jasmon Tegga uko sahihi sana
 
Kuna tofauti kubwa sana kati ya chama cha siasa cha upinzani na kampuni ya kina tundu
Wao wanadai eti walishavuka huko kitambo, lakini sasa utendaji wao na jinsi wanavyoendesha mambo vinazidi kuwasaliti na kuwaumbua.
 
Lissu au Mbowe ameshinda UIchaguyzi kama vile Samia na mwenzie walivyoshinda kuwa wagombea wa CCM.

Tanzania itaongozwa na ama CHADEMA au CCM.

Tanzania hiyo ndiyo wanainchi wanataka
 
Uchaguzi gani huu unafanyika usiku wa manane?

Tayari hapo atayeshindwa atapata sababu zake za kutilia shaka matokeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…